Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.
Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...
Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?
Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...
Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....