City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Trump ameitisha kikao Cha baraza la usalama Ikulu
unamaanisha nini sasa?GPS disruptions Qatar na maeneo mingine nchi za gulf
View attachment 3380431
Ubaya wa Iran ni upi wakat yeye kashambuliwaHata wao Waarabu wanajua kabisa mtu mbaya ni Iran
Kiswahili chake kigumu mkuu lakini naweza kusema Kuna shida kwenye mfumo wa GPS hivyo hupelekea kutopatikana kwa usahihi location ya maeneo ambapo Kuna hizo shida.unamaanisha nini sasa?
Huyu hapa, nenda kampe kichambo huko twitter.Je Israel ataacha Qatar ishambuliwe?
Je US atalipa au ataacha ipite?
Haya walosema kuwa Fordow haikupigwa wako wapi?
Baada ya 1991, Urusi ilidhoofika sana kiuchumi na kijeshi kutokana na kuvunjika kwa Umoja wa Kisovyeti.pia usiseme kwamba iran imekua kwenye vikwanzo kwa miaka 50, rekebisga kauli sema iran imekua kwenye "vikwazo vya magharibi kwa miaka 50" mana iran anashirikiana kwa kila kitu na urusi, north korea na china ambao hao ni big powers, technolojia ya nuklia ya iran kila kitu hadi sctientist wake wamesomea urusi na north korea, misile techonlgy ya iran yote ni copy paste ya urusi hakuna alichogundua iran alichofanya yeye ni kupeleka vijana miaka ile ya 70 na 80 na 90 wakaenda kusoma urusi wakarudi kwako waanza kumodify zile technolojia za urusi, drone technology ya iran yote kaitoa urusi..vijana wote wa iran high field tech zote wanaenda kusoma urusi then wanarudi kwao kuzitumia
Kabla ya kuzungumza waache kuishambulia. Ndio msimamo wa Iran.Trump ameshasema Iran wakae wazungumze, Iran wamekataa... ipo hivyo..
Alianzisha vita ndio kwa kukosea mahesabu, hawakutegemea itakuwa hivi...israel yeye ndie alianzisha vita na lengo lake ni kushambulia mindobinu ya kijesho na nuclear ya iran..na ndio mana unaona yeye hapigi civilian areas tofauti na iran..iran ni kama amepanik sasa anataka kuweka presha kwa istarl ndo mana anashambulia majengo..pia ujue kwamba mashambulizi anayoyafamya iran kwenye miundombinu ya kijeshi ya israel mingi wanaipangua hewani usifikiri kwamba hawatarget..ila mifumo ya ulinzi ya israel inayapa kipaumbele maeneo hayo tofauti na wao ambao maeneo yao ya kijeshi na viongozi wao wanapigwa na hawawezi kuzuia mashambulizi hayo
nimekuelewa.. nimeona niicheki AI...Kiswahili chake kigumu mkuu lakini naweza kusema Kuna shida kwenye mfumo wa GPS hivyo hupelekea kutopatikana kwa usahihi location ya maeneo ambapo Kuna hizo shida.
Ahsante kwa tafsiri.nimekuelewa.. nimeona niicheki AI...View attachment 3380462
Bosi una angalia vyombo gani vya habari? Iran asilimia kubwa yanapigwa maeneo ya Civilian kuliko ya Jeshi, leo tu wamekufa Watoto si chini ya 50, watoto wanakaa kambi gani ya Jeshi? Toka vita Vianze umeskia watoto wa ngapi wa Israel wamekufa?israel yeye ndie alianzisha vita na lengo lake ni kushambulia mindobinu ya kijesho na nuclear ya iran..na ndio mana unaona yeye hapigi civilian areas tofauti na iran..iran ni kama amepanik sasa anataka kuweka presha kwa istarl ndo mana anashambulia majengo..pia ujue kwamba mashambulizi anayoyafamya iran kwenye miundombinu ya kijeshi ya israel mingi wanaipangua hewani usifikiri kwamba hawatarget..ila mifumo ya ulinzi ya israel inayapa kipaumbele maeneo hayo tofauti na wao ambao maeneo yao ya kijeshi na viongozi wao wanapigwa na hawawezi kuzuia mashambulizi hayo