SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kazi ipo acha tuone tai atafanya nini baada ya simba wa jangwani kurusha mawe yake.

Nakumbuka roporopo tai alisema hakopeshi endapo simba atamshambulia tusubiri tuone majibu ya bwana tai yatakuwa ya ujazo ?
 
20250623_125240.jpg
 
Kwa akili za kobazi navozijua huko USA na Ulaya wajiandae kusikia milipuko ya mabomu kila mahali.

Hili lipo wazo hakuna kupiga kelele baadae Kila mtu ananjia zake za kupata anachotaka
 
Bosi una angalia vyombo gani vya habari? Iran asilimia kubwa yanapigwa maeneo ya Civilian kuliko ya Jeshi, leo tu wamekufa Watoto si chini ya 50, watoto wanakaa kambi gani ya Jeshi? Toka vita Vianze umeskia watoto wa ngapi wa Israel wamekufa?
Danganya kobazi wenzio
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom