SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

israel yeye ndie alianzisha vita na lengo lake ni kushambulia mindobinu ya kijesho na nuclear ya iran..na ndio mana unaona yeye hapigi civilian areas tofauti na iran..iran ni kama amepanik sasa anataka kuweka presha kwa istarl ndo mana anashambulia majengo..pia ujue kwamba mashambulizi anayoyafamya iran kwenye miundombinu ya kijeshi ya israel mingi wanaipangua hewani usifikiri kwamba hawatarget..ila mifumo ya ulinzi ya israel inayapa kipaumbele maeneo hayo tofauti na wao ambao maeneo yao ya kijeshi na viongozi wao wanapigwa na hawawezi kuzuia mashambulizi hayo
Si kweli, Israel imeua raia wengi zaidi Iran kuliko Iran...
 
19:30Hrs saa za Afrika Mashariki, Iran imerusha Makombora 6 ya masafa marefu KULENGA KAMBI za KIJESHI ZA marekani zilizopo Qatar, kwa taarifa zaidi stay tuned

Updates: Inaripotiwa pia kushambuliwa kwa Kambi kadhaa za Us nchini Iraq.
Trump aitisha Kikao Cha Dharura
 
B4354E4F-4508-4CE9-8EF7-851F26DEF7C0.jpeg
 
Back
Top Bottom