Yani wewe nae unaanza kua kiazi kupigwa au kutoleta ndio isiwe sababu ya kulipa kisasiJe Israel ataacha Qatar ishambuliwe?
Je US atalipa au ataacha ipite?
Haya walosema kuwa Fordow haikupigwa wako wapi?
Israel hatanii😂😂😂
Ila bado Kobazi wa Jamii forum wanasema Israel anapigwa
Kiazi ni mamako alokuzaaYani wewe nae unaanza kua kiazi kupigwa au kutoleta ndio isiwe sababu ya kulipa kisasi
Zile facility zote hazitatumika daimaIkulu ya marekani wamesema wamefanya uharibifu mkubwa mno halafu kuna kobazi wa buza anakuambia hakuna kilivhoharibika
Nipo live Doha, milipuko kadhaa inasikika hapaBahrain
Kuwait
Qatar
Iraq
Saudi
Hao wote wanashambuliwa.
We jamaa wewe, kwani ukishambuliwa na mtu mwenye lengo la kukuumiza askpokupata inabid utulie tu sio?. Ukitulia jua atarudi Tena.Iran aliumizwa vinginevyo asingejiachia hivi. Zile facility 3 za Nukes hazitakuwepo tena
Yes kapigwa haswa kaona amuwashie Marekani motoMwenyewe nimeiona hii kwenye source mbalimbali ikiwemo Mossad, leo Iran katembezewa moto sema ni vile tu ana kiburi
Hapa anayeshambuliwa ni Marekani, hao waarabu wajinga wanashirikiana na Marekani ili Marekani iendelee kunufaika hapo Mashariki ya Kati.Bahrain
Kuwait
Qatar
Iraq
Saudi
Hao wote wanashambuliwa.
Ukitembelea source mbali mbali mnyukano ni kote koteHivi Iran na Israel nani anampiga mwenzake