ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Jamani huogopi? rudi nyumbani huku ukiwa mtulivu hautekwi 😂Nipo live Doha, milipuko kadhaa inasikika hapa
Wanakimbiza ndege zao. Iran imeanza kushambulia kambi za US zilizopo huko iraq na Qatar.Ndege Vita za Marekani zinaruka muda huu Saudi Arabia
Karusha makombora bila target kama kawaida yake,yote yameangushwa. Sasa asubiri kipigo heavy.Sikutegemea kama iran angezishambulia kambi za marekani!
Nimefurahi sana Israel kuwasadia hawa kobazi nimefurahi sanaSikutegemea kama iran angezishambulia kambi za marekani!
Wanakimbikiza au zinaenda kutoa kipigo kwani hawakujua kabla Iran atarusha mapipa yakeWanakimbiza ndege zao. Iran imeanza kushambulia kambi za US zilizopo huko iraq na Qatar.
Yuko anapasua sio akipasuaIran akipasua US airbases zote hapo middle east nitamuona kidume kwelikweli.
Anajiamini sana huyu bwana kugusa sharubu za uncle sam inabidi uwe unaweza kuzinesa kweli kweli bila hivyo uncle sam atakubonda ipasavyo😀Sikutegemea kama iran angezishambulia kambi za marekani!
Wewe jamaa akili zako ndogo sana,Zile ng'ombe zilizo sema hatoweza kurusha makombora kwenye base wanatafuta namna ya kukitetea now
Yamefika hayo makombora?Sikutegemea kama iran angezishambulia kambi za marekani!
Uongo wangu uko wapi?Acha uongo mzee kobazi
Washabiki wa Iran ni either ni Wajinga sana au mnafanya utani, Iran hapati faida kuwa na maadui nchi za GhubaYuko anapasua sio akipasua
Iran hawakurupuki, usifikiri hawajui wanachokifanya...Iran itajibabadua lakini itaishiwa pumzi. Lazima achapike maana ilishaandikwa atapigwa
Sawa kwa hiyo mlikua mnaongea kujifarijiWewe jamaa akili zako ndogo sana,