granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
trump currently in situation room with defence sec
majibu yanaandaliwa au?
dunia imepandwa na mapepo wallah
majibu yanaandaliwa au?
dunia imepandwa na mapepo wallah
Iran kashambulia bases za marekani zilizopo katika hizo nchi na marekani ni adui wa Iran mashambulizi ya Iran ni malipizi ya mashambulizi ya marekani katika ardhi yakeIran ni kama imekubali kupoteza vita...
Qatar na UAE unazishambulia ili iweje
Mkongwe!Iran ni kama imekubali kupoteza vita...
Qatar na UAE unazishambulia ili iweje
Mimi sio mrushaji mimi nareport kile kinachotumwaZimehit target?
Tatizo waisrael wa buza waliichukulia poa sana iranIran hawakurupuki, usifikiri hawajui wanachokifanya...
Kwahio wewe ndio mwerevu kushabikia Israel na marekani kuingilia Uhuru wa muajemi na kuua watu? Basi hayo ni maajabuWashabiki wa Iran ni either ni Wajinga sana au mnafanya utani, Iran hapati faida kuwa na maadui nchi za Ghuba
Mkuu imeandikwa wapi kuwa Iran itapigwa, tena itapigwa na nani?Iran itajibabadua lakini itaishiwa pumzi. Lazima achapike maana ilishaandikwa atapigwa
Huyu ni mtu ambaye yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi miaka kibaoIran mpaa mda huu kapiga base za USA kule Qatar, Bahrain, Kuwait na Iraq bada kidogo UAE
USA waliondoa Kila kitu kwemye base zao.Qatari says no casualties after attack on us military base
ia kambi za jeshi za US zilizopo huko kwenye hizo nchi.Iran ni kama imekubali kupoteza vita...
Qatar na UAE unazishambulia ili iweje
Ame survive kwa sababu ya mafuta na gesi.Huyu ni mtu ambaye yupo kwenye vikwazo vya kiuchumi miaka kibao
Usiseme kila kitu, kuna vitu vipo tu watapata hasara..USA waliondoa Kila kitu kwemye base zao.
Tangu juzi.
Nafikili walijua kua wakiishambulia iran nao watajibu mapigo