Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hakuna mbwa ambaye angebwaka middle eastYah angekuwa na uchumi mkubwa sana,
Tulizungumza Leo juu hapo
Hakuna mbwa ambaye angebwaka middle eastYah angekuwa na uchumi mkubwa sana,
Tulizungumza Leo juu hapo
Kuna bomu limelipuka mji mkuu wa dohaHapigwi Qatar bali kambi ya Jeshi ya Usa Qatar, ambayo ni Nchi ndani ya Nchi, kuna wanajeshi zaidi ya 10,000 humo.
Muulize Israel, kwanini wananchi wake wanaishi mashimoni kama panya, jana limetumwa missile moja nchi nzima wakaingia mashimoni wakidhani ni Iran kumbe ni Houthi..Hili ni teke la mwisho kwa MTU anaekaribia kufa ili aonekane alijitutumua.
Iran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base tuIsrael, Quatar zingekuwa hazina mfumo wa kuzuia makombora angani aisee Iran angefanya mauaji ya kimbari.
Mbwa wangebweka tuu.Hakuna mbwa ambaye angebwaka middle east
Wanazopiga hapo ni decoys tu, majibu yataonekana..Video footage: makombora ya Iran ndani ya Qatar, air defense inafanya interceptions. Ila kina shrapnel imeangukia jengo la makazi
Kwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa IranIran kashambulia bases za marekani zilizopo katika hizo nchi na marekani ni adui wa Iran mashambulizi ya Iran ni malipizi ya mashambulizi ya marekani katika ardhi yake
Unampangia mtu silaha ya kitumiaSwali:- Kwanini Iran inapenda sana kutumia makombora ya masafa marefu na sio kutuma ndege zisizo na rubani kwenda kushambulia Israel na Qatar?
Kwanini Iran hatumi ndege kwenda kushambulia hizo target?Iran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base tu
Yeah na Iran atalipia ni suala la mudaHili ni teke la mwisho kwa MTU anaekaribia kufa ili aonekane alijitutumua.
MmmmhIran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base
Jibu zuri sana,maana trump nae alisema hana tatizo na regime ya iran ila ni nyuklia tuIran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base tu
Acha porojo lete video na picha maana kule Israel mlidai Israel anazuia RAIA tena hapo Qatar ndio makao makuu ya Aljazeera mbayoipenda nyinyi.Hata zinazo rushwa Israel huwa mnasema zimezuiliwa lakini mwisho wa siku tunaona magofu kwenye mitaa ya Telaviv
Makombora yake mengi yanadunguliwa angani, ndege zinaweza kuwa efficient zaidiUnampangia mtu silaha ya kitumia
Hana ndege za kivita mjinga yule za kuendana na dunia ya sasaKwanini Iran hatumi ndege kwenda kushambulia hizo target?
Qatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..Iran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base tu