Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Tanks ndio hasara kwa jeshi?Tanks za mafuta watahamisha?
Tanks ndio hasara kwa jeshi?Tanks za mafuta watahamisha?
So walitoa taarifa kuwa watashambulia.Makombora yake mengi yanadunguliwa angani, ndege zinaweza kuwa efficient zaidi
Ndege vita za nini wakati missile ina damage kuliko ndege vita?Hana ndege za kivita mjinga yule za kuendana na dunia ya sasa
Huyo trump nae bwege tu.Muajemi kazi anayo.
U.S. President Trump is currently meeting with senior defense and intelligence officials in the White House Situation Room.
Asubiri kipigo cha mbwa kokoIran Ndio mpumbavu
Tanks za mafuta za kijeshi ni sheli za kwenye magari hapo.Tanks ndio hasara kwa jeshi?
Mbona vipo barabarani sasaIran aliwambia Qatar yeye hana matatizo nao matatuzo ni USA kwa hio vitu vinakuja kupiga USA base tu
Running way, miundo mbinu ya mafuta, maghala ya silaha, vyakula, machines, magari, maofisini.. kambini kuna vitu vingi huwezi hamisha kila kitu, hasara lazima wapate tu...Tanks ndio hasara kwa jeshi?
Udikteta upo Tehran ambapo mwanamke analazimishwa kuvaa kilembaQatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..
Nchi za kiaarabu ndo zinaongeza chuki hapo kwa iran.Video footage: watu wakikimbia huko Doha Qatar kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran. Humu Ni ndani ya mall?
Rudia tenaNdege vita za nini wakati missile ina damage kuliko ndege vita?
Leta effects za hapo doha, we unaona kazi inayofanywa na wadada wa Israel kwenye anga lako siku ya 10 leoNdege vita za nini wakati missile ina damage kuliko ndege vita?
Kuna kipindi walimtaka kupitisha adhabu ya jela miaka 30.Udikteta upo Tehran ambapo mwanamke analazimishwa kuvaa kilemba
Hajui alisemalo,Rudia tena
Si Kweli, kambi ya Qatar ina waka moto muda huu, video zipo zinaonesha hitzote zilizotumwa zimeshushwa kama zilivyo sasa Israel anaanza kazi rasmi
Drone ni rahisi kuwa intercepted. Hivyo inamlazimu kuvurumisha ballitic ambazo zina kasi ya juu na sio rahisi kuwa intercept.Swali:- Kwanini Iran inapenda sana kutumia makombora ya masafa marefu na sio kutuma ndege zisizo na rubani kwenda kushambulia Israel na Qatar?
God Bless IranSi Kweli, kambi ya Qatar ina waka moto muda huu, video zipo zinaonesha hit
View attachment 3380550
Moja ya video inaonesha hit,