Rubbish,
Uchumi wa Iran angekazana kutengeneza Ndege na Meli asingekua hapa Alipo, Drone na missile za bei rahisi ni right Approach.
Right approach haijafanya kazi mpaka sasa maafisa wa jeshi wanauwawa kirahisi kama bodaboda.
Navy moja ya maana ni as expensive as $40B usd, Budget ya mwaka mzima ya Jeshi Iran ni25B usd, una compete vipi hapo?
Sasa Navy inajengwa kwa mwaka mmoja? Project moja ya corvette inatumia hata miaka 7 kwenye development, hapo hujagusa cruiser maana kwa destroyer ni level kubwa zaidi.
Ndege moja zinacost hadi $80M usd
Iran wamezubaa hawajanunua Su-35 za Urusi, hawajanunua J10-CE za China muda wote baada ya sanctions za silaha kuisha. Hizo ndege hazizidi $50 million per unit sasa ndio wanashindwa kuchukua hata squadrons 3?
Kutokana na Uchumi wao mdogo inabidi Iran ifanye Gunduzi kwa kutumia budget na uwezo wake, hence Drone na Missile za bei rahisi, Shahed moja zinacost $20,000-50,000 wakati Hermes ya Israel inacost between 6-30M kwa kila Hermes moja wanaweza kutengeneza hadi Shahed 1500 so with numbers wana uwezo wa kuvamia Israel na kupiga bila kutumia Gharama kubwa.
Wamewekeza kwenye silaha za kushambulia adui, uwezo wa kuunda za kwao za kisasa hawana basi wanunue. Silaha ya kujilinda huwa ni ngumu kutengeneza kuliko ya kushambulia.
Mtu anaweza funga petroli ya elfu 10 akatupa kwenye nyumba yako ikateketea yote, ila wewe ili uwe na fire proof house ni mamilioni au uwe na smoke detectors au extinguishers.
Uwe bondia upo ulingoni unakazana kushambulia tu na hujilindi, wakati mwenzako anashambulia na kujilinda.
Israel inatuma ndege inapiga maghala ya silaha na viwanda vyake. Kila siku makombora yanayorushwa na Iran yanapungua idadi inasubiri nini kutuma hizo Shaheed?
Same kwa missile nyengine ambazo Iran anatumia kama $80,000 tu ila Interceptor kama za Arrow zinatumia zaidi ya mara 10 gharama ku intercept.
Kwa akili yako kati ya risasi na bulletproof vest kipi kina bei? Au kati ya grenade na blastproof vehicle kipi kina bei. Kwahiyo watu wasinunue bulletproof vests kisa zina bei? Wairan ndio wana akili hizo zako.
Israel inazo ballistic missiles za kurusha, haizitumii kwa vile ina air dominance. Tena pia inazo ai launched cruise missiles ambazo Iran haina maana ndege hamna. Bomu la kudondoshwa ni gharama ndogo kuliko kombora la kutumwa 1,500+ km. Pia Iran haina air defense systems zimeharibiwa, kwahiyo usilinganishe bei ya missile interceptor na ya attack missile. Hapo umelinganisha bei ya bulletproof vest VS risasi.
Israel sasa hivi ni kama mwalimu ambaye kapokea mshahara kaenda kunywa pombe soon hela zake zinaisha,
Iran anachofanya sasa hivi ni war of Atrition kwa kutumia silaha zake za bei rahisi kila siku anatumia makombora anaharibu uchumi na uwezo wa kivita,
Wakati huo Iran ana uchochoro angani, yuko wazi anapigwa muda wowote adui akiamua.
Kama Iran ina makombora kwanza ingeshambulia airbases za Israel ili ndege zisiruke kwenda Iran kushambulia. Bila ndege Israel nayo ingelazimika kutumia makombora ambayo inayo machache. Sasa Iran imeshindwa airbases imeamua kuharibu vyuo na nyumba za kuishi eti "
inaharibu uchumi"
Soon mtaelewa anachofanya Iran ni nini, there is a reason kwanini ma Ofisa wa Israel wanataka wakae Mezani na Iran hawataki
Maofisa wa Israel wapo, wa Iran wanauwawa.