matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Angeshambulia MADHARA yangefika Hadi Palestina na Jordan na nchinnyingi za kiarabuWakati huo huo kwanini Iran haijashambulia kinu cha nuclear cha Israel Dimona na Israel na US wameshambulia vinu vya Iran?
Iran inaelewa madhara ya mionzi ya nuclear, US alishaitumia Japan, sasa unasemaje Iran wangetumia? kwanii wasiipige Dimona nuclear ivuje madhara yatokee?