SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Muulize Israel, kwanini wananchi wake wanaishi mashimoni kama panya, jana limetumwa missile moja nchi nzima wakaingia mashimoni wakidhani ni Iran kumbe ni Houthi..
Israel wameanza kuishi mashimoni tangu mwaka 1948,hakuna jipya hapo ndio maana approving rate ya Netanyahau imepanda sana kipindi hiki nakufikia 88% sababu hawashangai swala la vita na tabu zake.
 
Iran: Statement by the General Secretariat of the Supreme National Security Council regarding the Iranian missile response to American aggression:In response to the aggressive and brazen action carried out by the United States against Iranian nuclear sites and facilities, the powerful armed forces of the Islamic Republic of Iran have struck Al Udeid Air Base where American forces are stationed in Qatar.The number of missiles used in this successful operation equals the number of bombs used by the United States in its attack on Iranian nuclear facilities, and a military base completely distant from residential areas and civilian facilities in Qatar was targeted.This action carries no dangerous nature toward the friendly and brotherly state of Qatar and its honorable people, and the Islamic Republic of Iran affirms its commitment to maintaining and continuing the warm and historical relations with Qatar.
 
Satellite image Kambi ya Al Udeid huko Qatar, kabla na baada ya shambulio la Marekani ndani ya Iran. Inaonyesha ndege za marekani na vitu vingine havipo tena
View attachment 3380459
Wamekimbia nn kwani si tuliambiwa Marekani ndio mkubwa Kijesh Duniani !!!

Sasa vip nayeye anakimbia Jesh lengine hiii imeakaaje !!!

sasa wanaomtegemea yeye awalinde jambo ili kwao watalichukuliaje !!!


jamani Marekani si ana Air Defence System THAAD na zengine vip kafungasha virago vyake na kusema yeye ataki mgogolo na mtu!!!!
 
Kwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa Iran
Umbali kutoka Iran mpaka Us ni 11,000+ kms, sidhani kama Iran anayo makombora ya kusafiri umbali huo.
 
Video footage: makombora ya Iran yanavyopambana na Air defense ndani ya Qatar
 

Attachments

  • 2025-06-23_20-37-56_0.mp4
    853.5 KB
Kwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa Iran
Eri jamano arushe hata moja New York City pale na yeye afeel maumivu
 
Wamekimbia nn kwani si tuliambiwa Marekani ndio mkubwa Kijesh Duniani !!!

Sasa vip nayeye anakimbia Jesh lengine hiii imeakaaje !!!

sasa wanaomtegemea yeye awalinde jambo ili kwao watalichukuliaje !!!


jamani Marekani si ana Air Defence System THAAD na zengine vip kafungasha virago vyake na kusema yeye ataki mgogolo na mtu!!!!
Mkuu tusubiri, mpambano ndio kwanza umeanza. Mbivu na mbichi zitajulikana
 
Ninapata maswali mengi sana kichwani mwangu, kama Irani angeachwa hadi awe na full nuclear capability, huyu si angemrarua yeyote asiyemtaka, kuanzia Israel na wengine?

Mtu yeyote hapaswi kumkingia kifua Iran kwa vyovyote vile...
 
Back
Top Bottom