SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Muajemi kazi anayo.

U.S. President Trump is currently meeting with senior defense and intelligence officials in the White House Situation Room.
Tramp muoga wa Vita atadai akuna tatizo lolote lkn Iran itaakikisha izo kambi Marekani arudi tena zinachakazwa zote.
 
Naangalia Aljazeera hapa mfumo wa kulinda anga la Qatar unazuia makombora mengi ya Iran
Huyo al Jazeera yangerushwa Israel asingesema yamezuiwa ila inshort makombora ya Iran mengi huwa yanazuiwa ingekuw yanapita yote Tel Aviv usingekuwepo, air defence system zipewe heshima yake
 
Tramp muoga wa Vita atadai akuna tatizo lolote lkn Iran itaakikisha izo kambi Marekani arudi tena zinachakazwa zote.
Mpaka sasa mmeshindwa kupiga hata kambi moja ya Israel ndio mtaweza kuchakaza za Marekani
 
We noma,
1. Missile hazijafika hata Qatar ushajua Qatar ime intercept na haijapata madhara,

2. Sasa hivi hadi unajua video niliyokua naangalia ni kitu gani?

Kadanganye watoto wenzio huko.
Hazijafika sio? Kweli pro Iran mpo kwenye denial mode
 
Qatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..
Ila wewe jamaa yangu mda mwingine unakuwaga mjinga sana

Kwahiyo Qatar ni madikiteta ila ayatollah siyo dictator si ndio?
 
Huyo al Jazeera yangerushwa Israel asingesema yamezuiwa ila inshort makombora ya Iran mengi huwa yanazuiwa ingekuw yanapita yote Tel Aviv usingekuwepo, air defence system zipewe heshima yake
Iran ana makombora tofauti tofauti, kuna makombora ambayo hakuna Air defense pale Israel inayoweza kuzuia, hayo hutumia kupiga sehemu muhimu muhimu.

Na kuna makombora yale ya mafungu ya 500, yanapigwa mengi uki intercept 70 yakihit 10 utajijua mwenyewe.

Huhitaji hata kuangalia source za Iran, source kibao za Israel zinakiri hazina uwezo wa ku intercept baadhi ya Makombora ya Iran including Mayor wa Haifa ambaye analia kila siku
 
GuJZryGWIAANIiX.jpeg
 
Namdhalilisha? Wewe unamjua? Unajua ana utaifa gani?

Nakuuliza unamjua ana utaifa gani?

Yani akili za kwangu, alafu wewe unipime?

Una uhakika kuna chochote chema wewe umenizidi hapa duniani? Nimesema chochote chema?
Nina uhakika nimekuzidi uimara wa sphincter muscles!
Au hicho sio kitu chema?
 
Back
Top Bottom