SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimepost Video comment kadhaa zilizopita za direct hit, vyombo vya habari vinasema kuna hit, we kajamba nani unajua hakuna hit? Tafuta vitoto kaa navyo vidaganye
Hahahaha mchezo huu hauhitaji hasira,cool down dogo match ndio kwanza inaanza.
 
KaMa wewe ni mwanaume nitashangaa sana , sio Kwa mipasho hio
Unashangaa? Kwamba unajiuliza ikiwa mimi ni mwanaume?
Mkuu uko serious nikikujibu na hapa... Hebu acha nipotezee.

Yani mpumbavu mmoja kisa kwa sababu zake huko anitukane, mimi nikae kimya, alafu nachoongea ni hivi hata hizo nchi za kiislamu zisingekuwa na usalama wowote, baada ya Israel kutandikwa na Iran, nao wangetandikwa tu.
 
Iran aliumizwa vinginevyo asingejiachia hivi. Zile facility 3 za Nukes hazitakuwepo tena
nukes ikibomolewa madhala yake ,eneo loote pale la hajilani halifai tena kuishi kwa miaka kadhaa.
hivyo walishasema hakuna madhala hata kwenye makazi ya jilani tu.
 
Ninapata maswali mengi sana kichwani mwangu, kama Irani angeachwa hadi awe na full nuclear capability, huyu si angemrarua yeyote asiyemtaka, kuanzia Israel na wengine?

Mtu yeyote hapaswi kumkingia kifua Iran kwa vyovyote vile...
Iran hatakiwi kuwa na nuke siyo Kwa sababu ya Israel Tu ila hata waarabu hawataki Iran imiliki nukes

Kauli za utata wa utawala wa ayatollah NI kuifuta Israel

Pili ni dhehebu la Shia kuhakikisha Makkah inamilikiwa na wao na siyo suni kama ilivyosasa,

Na pia Makkah iwe chini ya utawala wa l dini pesa zote zinazopatikana zitumike kwenye kuimarisha Imani ya kiislam ya dhehebu la Shia, ndiyo chanzo cha Irani kufadhili vikundi vya waasi kama houth maana kikundi hicho NI Shia

Kwa hiyo kama angemalizana. Na suala la Israel basi kituo kinachofata NI Saudi Arabia kupokonywa mji wa Makkah
 

View: https://x.com/sentdefender/status/1937191129495068717

Hawa ******* walikuwa wanatumia hela zao kuisupport Hamas dhidi ya Israel leo Israel inawasaidia.

Sasa nasubiri kuona Al-Jazeera itaandika nini

Unatukana nini sasa Akili imeelewa nn apo ujui ukweli Qatar sio mlegwa !!

Israel kama kusaidia anasaidia kambi za Marekani ambazo pia zipo kulinda Usalama wa Israel !!!

kunapopigwa kote ni kambi za Marekani sio kwengine wala hakuna vita kati ya Iran na Waarabu. apo tuliza Akili yako..
 
Ni silaha ipi ambayo Ukraine hajapewa? Mi naona Russia ndo anagusagusa ila angepiga kata funua vita ingekuwa imekwisha
Putin kamaliza kuongea muda si mrefu tafuta interview yake na waandishi, kasema kabisaaa mi budget yangu ya vifaa vya kijeshi ni ndogo sana kulinganisha na Marekani, na NATO ndio kabisaa, kwahiyo yeye walaa hataki maujinga ya Iran. Acha wapige mdomo huku wanatwangwa🤣
 
Putin kamaliza kuongea muda si mrefu tafuta interview yake na waandishi, kasema kabisaaa mi budget yangu ya vifaa vya kijeshi ni ndogo sana kulinganisha na Marekani, na NATO ndio kabisaa, kwahiyo yeye walaa hataki maujinga ya Iran. Acha wapige mdomo huku wanateangwa🤣
Aisee umzima kweli au ni sehemu ya comedy
 
Iran hatakiwi kuwa na nuke siyo Kwa sababu ya Israel Tu ila hata waarabu hawataki Iran imiliki nukes

Kauli za utata wa utawala wa ayatollah NI kuifuta Israel

Pili ni dhehebu la Shia kuhakikisha Makkah inamilikiwa na wao na siyo suni kama ilivyosasa,

Na pia Makkah iwe chini ya utawala wa l dini pesa zote zinazopatikana zitumike kwenye kuimarisha Imani ya kiislam ya dhehebu la Shia, ndiyo chanzo cha Irani kufadhili vikundi vya waasi kama houth maana kikundi hicho NI Shia

Kwa hiyo kama angemalizana. Na suala la Israel basi kituo kinachofata NI Saudi Arabia kupokonywa mji wa Makkah
Ndo lengo kuu la iran.
Anatafuta power middle east.
Waislamu wa bunju na waislamu wa namtumbo pamoja na wa nanyamba.
Wao wanashambikia tuu iran hapo middle east.
 
nukes ikibomolewa madhala yake ,eneo loote pale la hajilani halifai tena kuishi kwa miaka kadhaa.
hivyo walishasema hakuna madhala hata kwenye makazi ya jilani tu.
Kwamba kuna makazi ya watu Fordow?
Makazi yako 30km huko
 
Back
Top Bottom