SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

NATO Chief says US strikes on Iran did not violate international law.

Source - Globe Eye News

#nato #iran #usa
 
🇮🇱🇰🇵 Netanyahu declines to comment on reports the transfer of warheads from North Korea to Iran.

#israel #northkorea
 
Mkuu Katika vyote hapa duniani ogopa sana mtu Religious Extremist, hawa jamaa wangeachwa wakamilishe hiyo mipango yao ya nuclear, ingebidi kila mtu awasikilize matakwa yao...!

Chochote kile wangehitaji, ingebidi kifanyike...
Unafahami kuwa pale Tehran kulikuwa na mnara wa saa wa kuangamizwa Israel ifikapo mwaka 2040 ambao Israel imeubomoa leo asubuhi?
 
Kama Iran ina makombora kwanza ingeshambulia airbases za Israel ili ndege zisiruke kwenda Iran kushambulia. Bila ndege Israel nayo ingelazimika kutumia makombora ambayo inayo machache. Sasa Iran imeshindwa airbases imeamua kuharibu vyuo na nyumba za kuishi eti "inaharibu uchumi"
Hiki tumegusia hapa kwa Nini asilenge.
Airbase za Israel kuzuia ndege zisinde iran.
Sasa Leo Kuna video tumeona hapa.
Wanarusha missile imeanguka pembezoni mwa barabara eti.
Zingine kwenye mashaba.
Lingine kwenye kituo Cha kupoozea umeme.
Sasa kwa mwendo huu aaa
 
Breaking news; CNN
U.S president Donald Trump confirmed deed after Iran attacks by using balitic missiles in U.S bases located in Qatar
 
Back
Top Bottom