Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Mkuu umewahi kupita jeshini ?Karusha makombora bila target kama kawaida yake,yote yameangushwa. Sasa asubiri kipigo heavy.
Mkuu umewahi kupita jeshini ?Karusha makombora bila target kama kawaida yake,yote yameangushwa. Sasa asubiri kipigo heavy.
Kuna watu walisema Iran kaishiwa makombora...Baharain pia kichapo na UAE
Iran kalenga kambi za adui yake marekani aliye mshambuliaWashabiki wa Iran ni either ni Wajinga sana au mnafanya utani, Iran hapati faida kuwa na maadui nchi za Ghuba
Bado sijapata ripoti ya impact yoyote, inaonekana missiles karibia zote zimekuwa intercepted.Yuko anapasua sio akipasua
Hawa jamaa wabishi aisee!!!
View: https://x.com/MonitorX99800/status/1937194352373301301
IRGC:In response to the U.S. attack on Iran’s peaceful nuclear facilities, the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) announced it has launched a powerful missile strike on Al-Udeid Air Base in Qatar—America’s largest military base in West Asia.This retaliatory attack, conducted under Operation Basharat al-Fath, was approved by Iran’s Supreme National Security Council and led by the Khatam al-Anbiya Central Command.The era of “hit and run” is over—any repeat attacks will accelerate the collapse of U.S. presence in West Asia.The statement ended with a warning: Future attacks could lead to the downfall of both U.S. military infrastructure in the region and the Zionist regime.
Kambi zipi hizo,tunaomba picha na video za hizo kambiIran kalenga kambi za adui yake marekani aliye mshambulia
Iran ni kama imekubali kupoteza vita...Iran kalenga kambi za adui yake marekani aliye mshambulia
Picha za nini ? Kwani taarifa ya Iran kurusha makombora katika hizo nchi ilikusudia kulenga nini ?Kambi zipi hizo,tunaomba picha na video za hizo kambi
Mmh wewe ndio mtoto kabisa, hayo ni maandalizi ya kuuchukua msikiti wa Al-aqsa ambao ndio hekalu la suleiman. Unatakiwa urudi Tena kwa Israel. Iran akiendlea kumiliki silaha itakuwa changamoto kuuchukua.Iran hawakurupuki, usifikiri hawajui wanachokifanya...
Zimehit target?Picha za nini ? Kwani taarifa ya Iran kurusha makombora katika hizo nchi ilikusudia kulenga nini ?
Netanyahu anajua uhalisia wa missiles stock ya Iran.Kuna watu walisema Iran kaishiwa makombora...