City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Iran wameipa jina la."Blessings of Fateh" hii operation ya kushambulia kambi za marekani huko uarabuni
Na ndicho inafanya...Iran akipasua US airbases zote hapo middle east nitamuona kidume kwelikweli.
Ngoja tuendelee kufuatilia, IRGC wanatoa statement sio muda.Na ndicho inafanya...
Iran itajibabadua lakini itaishiwa pumzi. Lazima achapike maana ilishaandikwa atapigwaIran anashambulia Base ya America
Acha uongo mzee kobaziUkitembelea source mbali mbali mnyukano ni kote kote
Iran Media. The retaliation against U.S Al Udeid base in Qatar and american bases in Iraq has begun.Iran akipasua US airbases zote hapo middle east nitamuona kidume kwelikweli.
😂😂😂 Pole hizi hasira zinaonesha namna unavyo umiaKiazi ni mamako alokuzaa