Iraq zimekua interceptedVyuma vimepiga kambi Qatar, safi sana Iran.
Majengo labda.Usiseme kila kitu, kuna vitu vipo tu watapata hasara..
Itakuwa first wave... wanaweza kutuma tena vyuma vingine..Iraq zimekua intercepted
Hata zinazo rushwa Israel huwa mnasema zimezuiliwa lakini mwisho wa siku tunaona magofu kwenye mitaa ya TelavivKarusha makombora bila target kama kawaida yake,yote yameangushwa. Sasa asubiri kipigo heavy.
Nini faida sasaWameshambul
ia kambi za jeshi za US zilizopo huko kwenye hizo nchi.
Tanks za mafuta watahamisha?Majengo labda.
Maana ndo uwezi hamisha.
Assume kwamba asingekuwa na vikwazo je?Ame survive kwa sababu ya mafuta na gesi.
Ambavyo alikuwa anauza hasa china na mataifa mengine kama Vietnam na mengine ya Asia na baadhi ya africa
Mimi nimewahi kusema hapa.Mataifa kama Saudia,Qatar,U.A.E yasiingie kabisa vitani yatarudishwa nyuma sana na hali itakuwa mbaya kweli
Iran Ndio mpumbavuThe Qatari Foreign Ministry:The attack that targeted Al Udeid Air Base is a blatant violation of Qatar's sovereignty and airspace and of international lawThe Qatari Ministry of Foreign Affairs reserves the right to respond directly in a manner commensurate with the form and scale of the flagrant aggression and in accordance with international law.The Qatari Foreign Ministry calls for an immediate cessation of all military operations and a serious return to the negotiating table and dialogue.
Qatar ni wapumbavu..
Wanajeshi wanatumia matank ya mafuta ambayo Yapo kwenye gari hapo hapo.Tanks za mafuta watahamisha?
Yah angekuwa na uchumi mkubwa sana,Assume kwamba asingekuwa na vikwazo je?
Hapigwi Qatar bali kambi ya Jeshi ya Usa Qatar, ambayo ni Nchi ndani ya Nchi, kuna wanajeshi zaidi ya 10,000 humo.Nimefurahi sana, hawa Qatar walikuwa wanaisema sana Israel
Watu wanashambikia hata iran afunge Ile njia ya baharini.Wabongo buana kila kitu wanashabikia
Halafu wanasema eti njia tu ndio iliharibika mitambo ipo salama 😇Nuclear imewauma sana iran.
Sina hakika labda uncle sam ajibuItakuwa first wave... wanaweza kutuma tena vyuma vingine..