100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Russia kuwa na budget ndogo kijeshi haimaanishi ni udhaifu wa jeshi, kwa miezi mitatu Russia anazalisha ammunitions mara nne zaidi ya members wote wa NATO combined akiwemo US endapo wakizalisha kwa mwaka mzima..Putin kamaliza kuongea muda si mrefu tafuta interview yake na waandishi, kasema kabisaaa mi budget yangu ya vifaa vya kijeshi ni ndogo sana kulinganisha na Marekani, na NATO ndio kabisaa, kwahiyo yeye walaa hataki maujinga ya Iran. Acha wapige mdomo huku wanatwangwa🤣
Russia imejaaliwa kuwa na natural resources kuliko nchi yeyote ile EU na hata US, gharama wanazotumia kuzalisha silaha zinakuwa chini, wana madini ya aina nyingi sana ambayo hawahitaji kununua nje...
Usije kujidanganya, Ukitizama list ya misaada Ukraine iliyopewa na NATO unaweza ukashangaa Ukraine imeshindwaje kuizidi Russia...