SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel hawezi kuacha kushambulia akipigwa,hilo ni moja na si hoja hapa,hoja ni israel kaomba vita viishe na Iran kagoma,chanzo ni cha kuaminika, wall street journal...kwanza kiri wsj wamesema,pili kiri kwamba wsj ni chanzo cha kuaminika kwenye siasa za magharibi
Madam huyo 10 fix inamtosha hiyo pipe ranger utammaliza.


Punguza spana kidogo
 
Hao wote hakuna anayeweza kuomba Vita iishe, Israel leo muda mfupi uliopita wametangaza operations zaidi ndani ya Iran. Iran nao wametangaza kuishambulia vikali Israel

Habari ya fulani anaomba yaishe wala si kweli. Hao wote watapigana mpaka mmoja ataposhindwa kabisa. Muda bado tusubiri
Habari nyingi za uhongo.
Kama kiongozi flani ajaonekana public siku kadhaa tayari amekufa
 
BREAKING: U.S White House Press Secretary Leavitt on Iran: “If the Iranian regime refuses to come to a peaceful, diplomatic solution which the President is still interested in engaging in. Why shouldn't the Iranian people take away the power of this incredibly violent regime?...Our posture has not changed.”

Aisee mbona wanaomba amani tena? wao si walijikuta mabingwa wa vita, Iran iendelee at least hadi mwakani mwishoni hivi ili heshima iwepo..
 
Mkuu uchambuzi humu kuhusu kutofanikiwa kwa US au Israel kupiga vinu vya nuclear vya Iran nilifanya kwa kuandika uzi hapa 2020.. guess what? ndicho kimetokea, na juzi hapa nilikuwa namuambia mtu, hata B-2 spirit haitoweza haribu vinu vya Iran, na ndicho kimetokea.....

Israel imeingizwa kwenye vita ambayo si rahisi kutoka, Israel kuna kampuni nyingi za US zilizowekeza kampuni, maabara za R&D(research and development) na sasa zimefungwa, kuanzia hizo intel, microsoft, google n.k

Google wana R&D center kubwa Israel, ni cybersecurity startup iliyovunja rekodi kwa uwekezaji wa $32 billion dollars...

Microsoft wana center ya R&D Israel... juzi hapa Iran iliporomosha kombora katika hio ofisi.

Intel wana office Israel, hii ofisi ya intel pale Israel ni muhimu sana katika operations za hio kampuni duniani, wana manufacturing centers na wana ofisi nyingi Israel.

Qualcomm, salesforce n.k hizo ni kampuni kubwa za tech ambapo imebidi wasimame tokana na vita inayoendelea...

Iran ina vikwazo karibu miaka 50, hakuna kampun ya kimarekani ya tech kubwa itakwenda kuwekeza Tehran..

Elewa kitu kimoja, Israel haipo designed kuhimili hiki kinachoendelea, ndio maana nakuambia Israel ipo nafasi mbaya... kama unabisha nitakukumbusha siku moja....

Hao Iran wapo kwenye vikwazo vya miongo na wanaelewa jinsi wanavyo survive, hata kivita Iran ni wakomavu katika migogoro ya muda mrefu ikiwemo vikwazo vikali, Israel haiwezi hilo battle... hii vita Israel kajitakia acha apmbane tuoe mwisho wake, mwisho wake si mzuri...
Israel maisha yake ni vita kuanzia anakua taifa, yeye akipigana ndo anaishi asipopigana anakufa. kwa hiyo kwake hapo ni kufa na kupona, kati ya iran na israel mwenye uzoefu wa vita hapo ni israel, iran hana uzoefu wowote wa vita zaidi ya vita ya iran yeye amezoea kutumia proxy. mziki wa face to face ambao mwenzake kauzoea yeye alikua hajauonja bado. sasa hivi anaonja. ameshazidiwa kwenye kupokonywa umiliki wa anga lake ambayo ni very big failure kwake
 
mazungumzo hajawai Leta Amani ya kudumu,vita ndiyo uleta Amani ya kudumu.

Hata uko mbiguni kulitoka vita..Shetan na wafuais wake dhidi ya Mikaeli na malaika zake.shetan na kundi lake walipigwa hata sehemu yao haikuonekana tena.
Na hii Dunia itakuja tamatishwa na Vita,sio mazungumzo.

Mungu amlaani yoyote anayeomba Cease Fire kwenye Vita hii. Waache Wauane,na mshindi ndiye ataleta Amani ya kudumu kwenye huo Ukanda

Kwa sasa Israel inaomba iwe hivyo hata Trump pia,lakini Iran imeamua kuiadhibu Israel.. Iran haitaki kusimamisha vita..
Iran itasitisha mashambulizi Israeli itakapoacha kuishambulia. Iran inajilinda.
 
Mkuu wa MOSSAD ametangulia mbele ya haki. Wenzake watapewa bikra 72, yeye bila shaka ataishia moto wa Jehanam.
Hii picha ni ya leo asubuhi Mkuu wa Mossad akiwa na Netanyahau
 

Attachments

  • FB_IMG_17506787791488086.jpg
    FB_IMG_17506787791488086.jpg
    219.2 KB · Views: 13
Israel maisha yake ni vita kuanzia anakua taifa, yeye akipigana ndo anaishi asipopigana anakufa. kwa hiyo kwake hapo ni kufa na kupona, kati ya iran na israel mwenye uzoefu wa vita hapo ni israel, iran hana uzoefu wowote wa vita zaidi ya vita ya iran yeye amezoea kutumia proxy. mziki wa face to face ambao mwenzake kauzoea yeye alikua hajauonja bado. sasa hivi anaonja. ameshazidiwa kwenye kupokonywa umiliki wa anga lake ambayo ni very big failure kwake
Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.

Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...

Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?

Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...

Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....
 
Back
Top Bottom