ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Dah hii vita inaenda kuivuruga Mashariki ya kati nzima.Kuna kitu kinakwenda kutokea...
View attachment 3380273
Dah hii vita inaenda kuivuruga Mashariki ya kati nzima.Kuna kitu kinakwenda kutokea...
View attachment 3380273
Comedian 😀Kuna kitu kinakwenda kutokea...
View attachment 3380273
Sema leteni hoja ya kumfanya Iran awe super kwenye technology,Kabisa yani na ndio Tanesco wakikata na mlipuko hapo kwenu hua unatokea vizuri.
Sawa..Comedian 😀
Nilipoona waziri wa mambo ya nje wa Iran amekwenda Russia, nikasema hapa kuna kitu...Dah hii vita inaenda kuivuruga Mashariki ya kati nzima.
Uyu sio sasa ngoja kwanza atazame kwa macho yake kichapo kutoka Iran !!!
na Marekani kakimbiza Wajeda wake wote pale mashariki ya kati !!
NETANYAHU kabaki mkiwa !!
Iran chapa tu Baba wamekuja na Meli wataondoka na miguu yao. !!
Kila nikiona GAZA apana Baba chapaaaa kama zambi zako tutagawana tu Baba lkn pigaaa.
Jidanganye..Basi unaenda kuwa mwisho wa Iran,
Mkimaliza wewe na naniTukimaliza Iran inayofata ni pakistan
Unataka kusema USA/Israel ndio sound mind mkuu?NUKE inatakiwa kumilikiwa na tawala zenye zenye viongozi ambao wana sound/rational mind
pamoja na kumpa LIKE iran ila bado nawapa heko Israel taifa la watu 9mil kupambana na taifa mara 10 yao interms of population.Uyu sio sasa ngoja kwanza atazame kwa macho yake kichapo kutoka Iran !!!
na Marekani kakimbiza Wajeda wake wote pale mashariki ya kati !!
NETANYAHU kabaki mkiwa !!
Iran chapa tu Baba wamekuja na Meli wataondoka na miguu yao. !!
Kila nikiona GAZA apana Baba chapaaaa kama zambi zako tutagawana tu Baba lkn pigaaa.
Kabisa mkuu IRAN kwenye Vita vipo kwenye Damu zao !!Mkuu uchambuzi humu kuhusu kutofanikiwa kwa US au Israel kupiga vinu vya nuclear vya Iran nilifanya kwa kuandika uzi hapa 2020.. guess what? ndicho kimetokea, na juzi hapa nilikuwa namuambia mtu, hata B-2 spirit haitoweza haribu vinu vya Iran, na ndicho kimetokea.....
Israel imeingizwa kwenye vita ambayo si rahisi kutoka, Israel kuna kampuni nyingi za US zilizowekeza kampuni, maabara za R&D(research and development) na sasa zimefungwa, kuanzia hizo intel, microsoft, google n.k
Google wana R&D center kubwa Israel, ni cybersecurity startup iliyovunja rekodi kwa uwekezaji wa $32 billion dollars...
Microsoft wana center ya R&D Israel... juzi hapa Iran iliporomosha kombora katika hio ofisi.
Intel wana office Israel, hii ofisi ya intel pale Israel ni muhimu sana katika operations za hio kampuni duniani, wana manufacturing centers na wana ofisi nyingi Israel.
Qualcomm, salesforce n.k hizo ni kampuni kubwa za tech ambapo imebidi wasimame tokana na vita inayoendelea...
Iran ina vikwazo karibu miaka 50, hakuna kampun ya kimarekani ya tech kubwa itakwenda kuwekeza Tehran..
Elewa kitu kimoja, Israel haipo designed kuhimili hiki kinachoendelea, ndio maana nakuambia Israel ipo nafasi mbaya... kama unabisha nitakukumbusha siku moja....
Hao Iran wapo kwenye vikwazo vya miongo na wanaelewa jinsi wanavyo survive, hata kivita Iran ni wakomavu katika migogoro ya muda mrefu ikiwemo vikwazo vikali, Israel haiwezi hilo battle... hii vita Israel kajitakia acha apmbane tuoe mwisho wake, mwisho wake si mzuri...
Kweli..Kabisa mkuu IRAN kwenye Vita vipo kwenye Damu zao !!
tukumbuke vita na Iraq miaka 8 na bado Iran ilisimama senbuse awa Wachumba...!!
apo walipo wapo hoiii Vijana wao wanataka kukimbia nchi kukimbia Vita
sawa tu na pale Ukraine !!
wkt IRAN vijana ndio wanamimika kulinda nchi yao ,
Israel na kusaidiwa na US + EU bado ipo hoi..pamoja na kumpa LIKE iran ila bado nawapa heko Israel taifa la watu 9mil kupambana na taifa mara 10 yao interms of population.
this is great
Cheki Israel isivyo jaa kwa Iran
👇👇👇
View attachment 3380293
Umesaau nakukumbusha ongezea apo kuna Marekani inawatu milioni 270+ eneo kubwa zaid uyo ndio Mungu wa Israel kwaiyo ako kaeneo ni picha tu mkuu.. Israel ndio Marekani!!!!!pamoja na kumpa LIKE iran ila bado nawapa heko Israel taifa la watu 9mil kupambana na taifa mara 10 yao interms of population.
this is great
Cheki Israel isivyo jaa kwa Iran
👇👇👇
View attachment 3380293