SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndio Maana Saudi Arabia ikaungana na USA.
 
Wasiwasi wangu ni wa moja kwa moja makombora ya Iran yanaweza yakaichakaza Israel na marekani akatuma kombora baya moja tu kwa Tehran
 
Wasiwasi wangu ni wa moja kwa moja makombora ya Iran yanaweza yakaichakaza Israel na marekani akatuma kombora baya moja tu kwa Tehran
Sidhani kama hilo laweza kutokea kwa karne hii.....marekani wanajua madhara ya kutumia hayo mabomu na iliwagharimu sana kuijenga upya nagasaki na hiroshima pia ilitumia gharama kubwa kuwafanya raia wa japan wasiwe na kinyongo nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…