SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hawaja liona tangazo nini? Au Trump kaandika tu baada ya kukurupuka usingizini bila kujadiliana na pande zote mbili na kupata huakikisho wa hilo? Maana kwa mashambulizi haya sidhani kama lran nae atakaa kimya tu asijibu kama kawaida yake?
Mkuu nadhani itachukua masaa kadhaa mbele
 
Afisa wa juu wa Iran anasema wao hawajapokea ceasefire proposal yoyote.😳

Hawa wanatuchanya sasa. Ngoja tusubiri
Hata mimi nilihisi hivyo ndio maana nikaandika, mimi nadhani white house iweke sheria kwa rais kuto post vitu mpaka kamati iridhie kinachoenda kupostiwa, kama vipi wamnyanganye Trump simu aache utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…