Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Ilo ndilo la muhimu, busara itumike sana na mungu atusaidie kwa hili🙏🙏Hakuna anayekataa kutofautiana mitazamo,ila kuna namna ya kujadiliana
Ilo ndilo la muhimu, busara itumike sana na mungu atusaidie kwa hili🙏🙏Hakuna anayekataa kutofautiana mitazamo,ila kuna namna ya kujadiliana
Mbwa ana akili?Akili ni uwezo wakupambanua mambo bila mihemko wala matusi.
AnayoMbwa ana akili?
Anapambanuaje mambo bila hasira na mihemko?Anayo
Vita vimeisha,tuhamie kwenye dabi na no reform
Kweli mkuu maisha mengine yaendelee, peace upon u🙏🙏Vita vimeisha,tuhamie kwenye dabi na no reform
2000 waliitwa toka walipo toka tar 7, 1000 walikuwa ndani hapo.Wanaopeleka moto ni hao 2000.Wako zaidi ya 3000, wanaingia kwa shift
Vimeisha wakati Israel bado anaendelea kupeleka moto TehranVita vimeisha,tuhamie kwenye dabi na no reform
Mkuu vipi tena huko na Mr president katangaza cease fire?💥💥
Mashambulizi muda huu eneo la Narmak Tehran
Bado wanashambuliaMkuu vipi tena huko na Mr president katangaza cease fire?
AJichanganye mtu sasa.Bajeti kubwa ya Ulinzi ya USA ni kwa sababu ana makambi mengi na vituo vingi vya kijeshi nje ya nchi yake anagharamia.
Mfano Marekani ana Kambi zaidi ya 700 kwenye nchi karibu 80 duniani, na zote zipo chini ya wizara ya ulinzi. Bajeti ya ulinzi kwa USA kuwa kubwa kushinda mataifa mengine ni jambo la kawaida kwani hizo kambi ni jukumu lao kuzigharamia.
Ukute hata ubalozi wa marekani hujui ulipoMarekani ni nchi yenye nguvu huwezi kuamini majeshi yote duniani yanaweza yakakusanyika lakini marekani ikiamua kutumia nguvu zake zote haizidi masaa 24 dunia inakuwa unga. Hamna mwenye sauti juu ya marekani