SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kule Israel wameomba vita viishe na Iran kawajibu bado mda wa kusimamisha vita haujafika. Kichapo kinaendelea kama kawaida kule Israel

Chakuchekesha Qatar anasema ana haki ya kulipa kipigo hahaha kivipi? Qatar wanasema wameangusha Missiles 9 na moja imeanguka kwenye empty area ikiwa Iran kasema katumia 6 Missiles kama alivyo tumia USA 6 Missiles kupiga Iran kweli Qatar wakuweza kupigana na Iran ajabu kweli ikiwa Israel anaomba vita viishe na Iran.
Israel wameona ADs zimekua Overwhelmed ndo wanaomba vita iishe, vita haisimami hii hata wafe Iran wote abaki mtoto mmoja wa miaka mi 5 bado atarusha makombora
 
Tunaanza kuleta Updates.
Trump alijaribu Economic Bullying kwa China kashindwa.

Kafanya Udanganyifu wa Kidiplomasia kwa Russia ili achukue madini Ukraine kashindwa.

Kafanya Bullying kwa Canada Kashindwa.

Kataka kufukuza Immagrant kashindwa

Kataka kumuingiza mkenge Elon kashindwa

Katest Military Bullying kwa Iran nayo inaenda kubuma.

Step inayofuata anahamia kuwasakama Afrika au Venezuela
 
Iran hana ICBM yoyote. Hata Israel haina true ICBM ila ina intermediate range ballistic missile Jericho-3 specifically kama nuclear tu sio conventional warhead.

Iran hana uwezo wa kushambulia direct ndani ya US. Na mara ya mwisho US anashambuliwa direct na adui ni Pearl Harbour mwaka 1942 ambapo alitangaza vita na mobilization kubwa.
Iran hana ubavu wa kukabili hiyo hasira ya raia American public. Angalau ashambulie US bases za Middle East na penyewe atapigwa ila kwa huruma kidogo sababu litawahusu wanasiasa na jeshi tu, ila ukigusa raia mara wakaandamana vita itangazwe unakuwa umefanya maamuzi ya akili fupi.
Iran haishindwi kumiliki missiles ya kusafiri zaidi ya 10,000 km, ni vile waliona adui zake wengi wapo within range...
Netanyahu aliwahi kusema Iran ilikuwa ina project hio ya kutengeneza ICBM..
Shahab-6 - Wikipedia

Hivyo Iran maadui zake wote inawadhibiti hapo hapo middle East..
 
Marekani ni nchi yenye nguvu huwezi kuamini majeshi yote duniani yanaweza yakakusanyika lakini marekani ikiamua kutumia nguvu zake zote haizidi masaa 24 dunia inakuwa unga. Hamna mwenye sauti juu ya marekani
 
Back
Top Bottom