SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu nilichokueleza ni kuwa hawa wawili Israel na Iran kuacha kupigana bado sana. Kila mtu anaona anashinda mbele, ndio maana nikakuambia hizo ni story tu, mapigano ndio kwanza yanapamba Moto pande zote mbili
Mimi naona mapambano yanazidi.

Hizo vita zimekata kiuhongo uhongo.
Kuna baadhi ya habari zingikuwa ni kweli zingesemwa kwenye media kubwa kubwa.

Kama Kuna Moja ilisambaa kuwa trump anataka kuongeza na iran kumaliza mgogoro kupitia waziri wa mambo ya nje hapo kesho.
Kesho yake hio hio tukasikia trump amesema wamefanikiwa kupiga Vinu ya nyukria.

Sometimes hata Israel nao wanasambaza propaganda zao kwa manufaa Yao wenyewe na hata iran pia.

Mmmh jamani tuwe makini na habari hizi.
 
Sina uhakika kama Israel wanatafuta kujadili na iran sasa maana walichokifanya huko iran daaa so sad.

Maana iran nao sio wajinga.
 
FB_IMG_1750708785345.jpg
 
Marekani ni nchi yenye nguvu huwezi kuamini majeshi yote duniani yanaweza yakakusanyika lakini marekani ikiamua kutumia nguvu zake zote haizidi masaa 24 dunia inakuwa unga. Hamna mwenye sauti juu ya marekani
Madhara ya watoto kunyonya mipira ya plastic badala ya ziwa la mama.
Ndio uwezo wa kufikiri ulipoishia
 
Muda sio mref sana Iran imerusha makombora IRAQ NA QATAR kulipiza kisasi kwa marekani ,

Makombora yamelenga vituo vya kijeshi vya marekani vilivyopo nchi husika .


Na hapo mchana Iran aliahidi kuwa marekani ijiandae kupokea maelfu ya majeneza ya wanajeshi wake baada ya kuvuka mstari mwekundu.


Ila wakimkalia shingoni asije akaanza kulia na kusema stop genocide. Manake wachambuzi wanahofu kamzozo haka katapeleka mambo pabaya.
Majeneza yataenda kweli kwa kutangaza???
Yani unatangaza kuwa unaenda kupiga afu unategemea majeneza yawepo?

Aaaaa iran nao sijui wanafeli wapi.

Afu ishu ni kwamba makombola yakirushwa yanaonekana yanaelekea wapi, so ni rahisi kuchukua taadhari.

Sasa majeneza hayo yatatoka wapi?
 
Iraq ya Saddam Hussein..
Haijalishi alipigana na nani ila USA,UK na France wakihusika kumchangia.
Sadam Hussein walipolikuja kuingia USA, UK na France tayari alikuwa ameshachakazwa na Iran. Vita ya miaka 8. Hao USA, UK na France wangemkuta Iraq ni mpya kabisa pangechimbika.

Also watu wake ndani tayari Kurds walikuwa wamemchoka maana aliwaua sana kwa kutumia sumu kwenye maji ya mto.

Also Kurds ni jamii pia ipo Uturuki na Iran.

Ndio maana ilikuwa rahisi kwa hao jamaa.
 
Back
Top Bottom