Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kambi gani zimepigwa?Mbona habari za kupigwa kambi za US QATAR huweki au ni uongo!
Maana tulikuwa tunategemea taarifa kwako.
Kambi gani zimepigwa?Mbona habari za kupigwa kambi za US QATAR huweki au ni uongo!
Maana tulikuwa tunategemea taarifa kwako.
Issue ya msingi what do you achieve with your actionsIngelikua wewe ungekubali nchi jirani ardhi yake itumike kukushambulia?
Muda mwingine acheni kuwa na poor reasoning kwa kuendekeza mahaba.
Iran anapigwa sana💥💥
Video footage: Israel wakiendelea na mapambano Buchan
Au unadhani Iran hakufanya calculation zake kuhusu hii vita?Issue ya msingi what do you achieve with your actions
Punguza kujieleza sanaMuda sio mref sana Iran imperishable makombora IRAQ NA QATAR kulipiza kisasi kwa marekani ,
Makombora yamelenga vituo vya kijeshi vya marekani vilivyopo nchi husika .
Na hapo mchana Iran aliahidi kuwa marekani ijiandae kupokea maelfu ya majeneza ya wanajeshi wake baada ya kuvuka mstari mwekundu.
Ila wakimkalia shingoni asije akaanza kulia na kusema stop genocide. Manake wachambuzi wanahofu kamzozo haka katapeleka mambo pabaya.
USA anasema si ajab iran akashambulia base zingine dawa imemuingiaWewe baki na propaganda zako huku Iran ikirudishwa miaka mia nyuma
Jibu swali,Iran imeachiv nini kwenye hayo mashambulizi yake?Au unadhani Iran hakufanya calculation zake kuhusu hii vita?
Wewe unaona ime achieve nini?Jibu swali,Iran imeachiv nini kwenye hayo mashambulizi yake?
Mkuu unapitia kipindi kigumu sana huu mwaka,ulianza kwa Hezbollah ikawa sivyo na sasa kwa Iran nae anakuangusha.USA anasema si ajabunIran akashambulia base zingine dawa imemuingia
Vituko haviishi duniani.💥💥💥💥
Taarifa zinasema Israel imewapa masaa 12 maafisa wa jeshi la Iran kukimbia nchi.
Mkuu unachoripoti wewe na wanachoripoti kobazi Aljazeera muda huu ni vitu viwili tofauti 😆 tukuamini wewe mu Irani wa mwananyamala au Aljazeera walioko huko uwanja wa vita.Khamenei kama Ronaldo anapiga miguu yote huku kambi za marekani zinawaka moto huku Israel watu wanakaa kwenye mahandaki
Wamepiga kufungua geti kuu ili wafungwa watoke. Hilo gereza lina historia yake, ni sherehe kwa wananchi na ndugu zao.Ni ya kweli, israel walishambulia gereza,mwezi mwekundu leo mchana
US aliweka kambi pale kwa ajili ya Iraq na Iran, Iraq ishajifia na sasa hivi Iran ndio inaelekea kibraWewe unaona ime achieve nini?
Unadhani US itajikita kijeshi kama siku zote hapo mid east?
Iran hana ICBM yoyote. Hata Israel haina true ICBM ila ina intermediate range ballistic missile Jericho-3 specifically kama nuclear tu sio conventional warhead.Sina uhakika kama ana ballistic missile za kufika USA.
ICBM
Inter-continental ballistic missile.
T14 Armata
Israel kisha nusa USA anataka kuyamaliza na Iran anasema eti USA na Iran wamefanya deal hahahaha. Israel anataka USA aendelee vita na Iran.Au unadhani Iran hakufanya calculation zake kuhusu hii vita?
Pole yako.US aliweka kambi pale kwa ajili ya Iraq na Iran, Iraq ishajifia na sasa hivi Iran ndio inaelekea kibra
Wewe baki na propaganda zako huku Iran ikirudishwa miaka mia nyuma