Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Brother mbona mchana mnapo chambua na jihadist wenzio mkijipa mioyo humu jamaa mbona hatukani?We umemaliza kupelekewa moto!?
Brother mbona mchana mnapo chambua na jihadist wenzio mkijipa mioyo humu jamaa mbona hatukani?We umemaliza kupelekewa moto!?
Huyo fala nna shida nae,sitaki kumblock ila sitaki pia kujadili nae,ni *** cenge flanBrother mbona mchana mnapo chambua na jihadist wenzio mkijipa mioyo humu jamaa mbona hatukani?
Kwani ungeileta wewe kuna mtu angekuzuia?Asubuhi nilimpa habari ya wsj kuwa israel kaiomba Iran wamalize vita, Iran akakataa,yeye akabisha,jioni hii nimemwekea gazeti la israel likisema hivyo,bado ananyonga ulimi, yaani hata kuileta hiyo update hakutaka na aliiona, halafu anadai hayuko biased!!..si mnafiki huyo
Hahahaha Mzayuni kweli kiboko,kipondo anakitoa kwa Iran but wanaokasirika na kuchukia wapo Chanika BuyuniPeleka washeli yako huko
Toka Kipindi Kile North Korea Ana Mpiga Mkwala Marekani, Alafu Marekani Ana Poa,Mkishiba Makande huwa mnaropoka Chochote kinacho kuja kichwani, bila kufikiria na kufanya analysis yoyote.
Kwa akili yako ndogo hii Marekani huo uwezo autoe wapi? Korea pale ameshindwa kupagusa, Pakistan na Venezuela palimtoa jasho mpaka akaamua kukimbia vitani, aje apambane na Dunia ambayo ina Most powerful countries kama China, Russia hapo baado kule south America.
Punguzeni uropokaji tafute information, msilishwe hizo propaganda.
Sasa mkuu ngoja tusubiriTrump kamwambia mbwa wake anataka ugomvi uishe, halafu hiyo habari ya kuomba vita iishe ingekua imetajwa Iran ndiyo anataka,ungebisha hivi na udingeileta hii habari humu!?
Hao wana akili fupi na jazba za kidini zinawapeleka puta kuliko common senseBrother mbona mchana mnapo chambua na jihadist wenzio mkijipa mioyo humu jamaa mbona hatukani?
Humu kila mtu anamtizamo wake la muhimu ni kuwa na busara na kutokujibu ukiwa na jazba ili kuepuka matusi ndio hivyo mkuu ndio maana mimi mchana huwa si comment chochote maana kuna jamaa huwa nawakwepa sababu ya jazba na matusi fanya hivyoHuyo fala nna shida nae,sitaki kumblock ila sitaki pia kujadili nae,ni *** cenge flan
Hahahaha hapa ndio unapokuwa exposed kuwa una akili kisoda.Huyo fala nna shida nae,sitaki kumblock ila sitaki pia kujadili nae,ni *** cenge flan
Akili ni nini?Hahahaha hapa ndio unapokuwa exposed kuwa una akili kisoda.
P1 🙏🙏💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora maeneo ya Zanjan, urmia, Lajan, Rasht, Lavin, Karaj garden na Bushehr
Unashambuliwa hivi halafu wewe baadae unarusha missile 8 watu wanakimbia kwenye mahandaki halafu unafurahi na kujisifu then unasubiri kesho tena.💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora maeneo ya Zanjan, urmia, Lajan, Rasht, Lavin, Karaj garden na Bushehr
Hakuna anayekataa kutofautiana mitazamo,ila kuna namna ya kujadilianaHumu kila mtu anamtizamo wake la muhimu ni kuwa na busara na kutokujibu ukiwa na jazba ili kuepuka matusi ndio hivyo mkuu ndio maana mimi mchana huwa si comment chochote maana kuna jamaa huwa nawakwepa sababu ya jazba na matusi fanya hivyo
Akili ni uwezo wakupambanua mambo bila mihemko wala matusi.Akili ni nini?
Kusubiri siyo hoja bali biasness ndiyo hojaSasa mkuu ngoja tusubiri