Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Hayo ni maneno ya kujifariji tuu,Iran kaogopa comeback ya Marekani kama angeharibu kambi zakeHapana, Iran wameamua ku deal na Israel tu, hata kurusha hizo missiles ni kuonyesha nguvu, bali hawakutaka kukuza mzozo na majirani, lakini angetuma zile hypersonic zenye vichwa tani 1.5-2, isingekuwa vizuri...
Kwanza Israel ingepata nguvu na support kutoka nchi hizo za kiarabu ambazo hadi sasa zilikuwa zinailaumu Israel kwa kufanya genocide Gaza...