SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Breaking news: lran kurusha makombora 500 usiku huu kuelekea lsrael, tukae tayari lsrael inaenda kufutika rasmi
 
Israel inazidi kushangaa mashambulizi yote wanayofanya kumbe hamna kitu, muajemi bado ana vyuma na leo kavituma base tofauti middle east kwa wakati mmoja...

Hivi Israel si iombe tu radhi, kwa maana ilichofanya leo Iran ni dhihaka na kuitusi Israel..

Iran imetulia kumbe vyuma vipo vya kutandika base 10 za Israel kwa wakati mmoja....

Ndio maana nilisema mapema Israel imeingia kwenye attrition warfare... Neta lazima atoe mlio, Trump kisha mnawa...
 
Lakini ukiacha utani Iran anashambulia Nini Cha maana, au Kobazi wanafurahia watu kwenda kwenye mahandaki tu
Namhurumia sana Iran maana anarudishwa nyuma miaka 100

Aje aanze upya ajenge Kambi mpya za kijeshi ni leo?
 
Unajua Qatar wapo na Ugonvi na Saudi Arabia halafu Qatar wapo Treat na Iran kuhusu visima vya gesi maana gas reserve imeungana na Iran. Hapo Qatar ukija ugomvi wa Iran na Saudi Arabia Always huwa anakuwa upande wa Iran. Siasa ya hapo ni very complex.
Ndio maana baada ya kuripuliwa Base ya Qatar haraka haraka Saudia Arabia kamlaumu Iran yaani anajipendekeza Upande wa Qatar ili aonekane anashirikiana naye. Kuna case nyingine ya UAE na Oman utacheka. Kuna mkoa wa Oman upo ndani UAE unaitwa Madha

1750711630642.png


Siasa za hapo zipo very complecated ndio maana USA anakaa kwa tahadhari sana. Maana hamjui nani adui wake wa kweli na nani rafiki wake wa kweli. Muda wowote wanaweza ungana na muda wowote kinaweza waka.

Rafiki yake wa uhakika pale ni Israel tu. Wengine wote wana buy time wapate nguvu na waanze kumdindia.
 
Back
Top Bottom