Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Usisahau mkuu kwa mujibu wa magenerali Mdogoye, kimsboy, Rtiz, secretarybirds lran haijatumia bado makombora yake hatari zaidi yanayoenda kwanza sayari ya mars ndio yanarudi kupiga target iliyokusudiwa lsraelKinachofuata sasa hivi ni majaribio ya silaha za Israel na Marekani hapo Iran.