Mmmmh watu kwa uongoView attachment 3381960
Al Jazeera naona wameamua kuweka data kabisa.
Ila wamesahau wanajeshi , viongozi wa serikali na wanajeshi pamoja na scientist.
Maana karibu wanajeshi ya iran 1000 wamepoteza maisha.
Wameuwawa kwenye makambi ya jeshi.
.Malengo ya Israel kwenye hii vita ilikua ni kutoa utawala wa mapinduzi wa kishia.
Badala yake raia wakaungana na serikali yao.
Pasi na kupepesa jicho Israel ndiye aliyeshindwa vita hii.
NiUongo...........Israel kaishinda kwa point vizuri kabisa..
Ongezea Iran +china +Russia +Pakistan...... hawa waliingilia kimya kimya........bila kutoa milio.......Ni
Israel+USA +(Jordani aliruhusu anga lake litumike) + Cyprus, huyu Israel ndio alikuwa anajaza mafuta kwenye ndege zake hapa, na alihamisha ndege zake nyingi kuja hapa)
VS
Iran
Ila Israel na USA wamesema wamesitisha na Iran pia asitishe process zake za nuclear akifufua tu wanafufuka naye, nahisi ndio wakati mtaona mabango ya Pray for Iran π yakiwa mengi kuliko hata matangazo ya marufuku kukojoaπ
Huyu nae atakua kibonde wa mwisho mwisho.Msome waziri wa mambo ya nje wa Iran
View attachment 3381014
Unaongelea viroboto na kunguni huku mwenye nyumba kaamua kuchoma godoro mtabaki wapi?Ongezea Iran +china +Russia +Pakistan...... hawa waliingilia kimya kimya........bila kutoa milio.......
Na walichokutana nacho Israel wamewahi kukutana nacho lini?!Kilichotokea ni biggest iran attack,
Hawajawahi pata hio shambulio Tangu 1980.
Endeleeni kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe lakini ukweli hatimae umedhihirika! Ujinga mliokuwa mnajazana kwamba eti Israel ni Taifa Teule, na Mungu wa Israel anailinda Israel hatimae imefahamika kwamba, kama ambavyo Mtume Paulo alivyosema Kizazi cha Ibrahimu kilichobarikiwa ni kile kilichomkubali Kristo, hawa Wahuni kutoka Ulaya Mashariki hawana hizo baraka wala ulinzi wa Mungu na ndo maana wametolewa nishai na nchi ambayo ipo ndani ya vikwazo vikali kwa zaidi ya miaka 40 huku wao wakiwa wanapokea kila aina ya misaada in billions of $! Na mlinzi wao wa kuaminika ni Marekani, na wala sio Mungu wa Israel ambae tangu enzi na enzi amekuwa akiwatia adabu kutokana na uovu wao! Na ni huyo Mvaa Kanzu ndie kaionesha dunia kwamba Taifa Teule is penetrable!!Unaongelea viroboto na kunguni huku mwenye nyumba kaamua kuchoma godoro mtabaki wapi?
Yaani eti Pakistan,china hawa china? Russia juzi kakimbiza watu wake waliokua wanamtia ujinga huyo mvaa gauni
Kachambe usubiri kipigo kingine, hao wapo humo ndani na wiki hii haiishi wanamalizana na ayatollah.Endeleeni kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe lakini ukweli hatimae umedhihirika! Ujinga mliokuwa mnajazana kwamba eti Israel ni Taifa Teule, na Mungu wa Israel anailinda Israel hatimae imefahamika kwamba, kama ambavyo Mtume Paulo alivyosema Kizazi cha Ibrahimu kilichobarikiwa ni kile kilichomkubali Kristo, hawa Wahuni kutoka Ulaya Mashariki hawana hizo baraka wala ulinzi wa Mungu na ndo maana wametolewa nishai na nchi ambayo ipo ndani ya vikwazo vikali kwa zaidi ya miaka 40 huku wao wakiwa wanapokea kila aina ya misaada in billions of $! Na mlinzi wao wa kuaminika ni Marekani, na wala sio Mungu wa Israel ambae tangu enzi na enzi amekuwa akiwatia adabu kutokana na uovu wao! Na ni huyo Mvaa Kanzu ndie kaionesha dunia kwamba Taifa Teule is penetrable!!
Taifa Teule si lolote si chochote pasipo na Marekani- proved beyond reasonable doubt! Btw, kwanini Israel imeamua kufanya censorship ya nini cha kuripoti na nini cha kutoripoti kwa yale yanayotokea Israel? Wanaficha nini?Kachambe usubiri kipigo kingine, hao wapo humo ndani na wiki hii haiishi wanamalizana na ayatollah.
Na usikute washammaliza wanangoja kutangaza tu.
Wanaficha nini?Foreign photographers will no longer be allowed to film at the scenes of missile strikes in Israel without prior written approval from the military censors, under new directives issued by National Security Minister Itamar Ben-Gvir and Communications Minister Shlomo Karhi.
The move, which targets major international outlets, empowers the Israel Police, the Government Press Office (GPO), and the military censor to enforce stricter controls on foreign reporting of war-related damage inside Israel. According to the directive, enforcement will apply regardless of the media outlet for which the footage is being filmed
Aliekuambia ni nani?!Ayatollah ni binadamu akifa yeye kunawarithi zaidi 100 wenye msimamo mkali huyo ayatollah akasome ni sawa na wewe ukifa hakuna wa kuziba pengo lako maana mpaka sasa ni debe tupu
πππππππView attachment 3381962
The B-2 Spirit stealth bomber plane that struck Iran was inspired by a falcon.(photo credit: Social media/Used in accordance with Clause 27a of the copyright law)
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Kuna kitu hapa why tulikatazwa.. because tutakuwa dangers
Kumbe akili za trump ni sawa. Tu na akina T armat na komeo la chuma yani ni vilaza wanabishana hadi na ukweliπππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DLT5I8WMSoi/?igsh=MXU2N2pxc20yOHNtcA==