Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Najaribu kufikiria, umeua viongozi muhimu, umelipua maeneo ya nyuklia ambayo ndio ilikuwa ndio ajenda kuu; baada ya hapo unaomba vita isitishwe.
Wanamzuga ili wamuue ayatollahNajaribu kufikiria, umeua viongozi muhimu, umelipua maeneo ya nyuklia ambayo ndio ilikuwa ndio ajenda kuu; baada ya hapo unaomba vita isitishwe.
Au ameona bora kusitisha mapema ili asiishiwe pumzi, kwa sababu bado kuna ***** ***** za China, Urusi, KoreaWanamzuga ili wamuue ayatollah
Wakuu, nimecheka sana.We kilaza hivi nyuklia unaijua au unaisikia tu
Hilo eneo lisingekalika milele hapo
Sisi Wairan pamoja tumeshinda ila bado matokeo kwetu sio rafiki sana.
Jordan asingekuwa Yuda basi tungeingia wenyewe mazima pale Tel aviv, tukamchukue Netanyau akiwa hai twende nae tukamnyongee Teiran.
Ila yote kwa yote tunashukuru vijana wetu kwa kazi nzuri waliyotufanyia.
Hadi leo madhara yapo mkuu wanazaliwa vilema na matatizo mengine hukoAcha uongo mbona Nagasaki na Hiroshima watu wanaishi????
Ukiona marekan anarudiarudia maneno kuwa hataki kufanya jua nikinyume chake.Au ameona bora kusitisha mapema ili asiishiwe pumzi, kwa sababu bado kuna ***** ***** za China, Urusi, Korea
Marekani ndie kiranja wa hii dunia.Iranian president says ready to resolve issues with US
President Masoud Pezeshkian says Iran is ready to resolve issues with the United States based on international frameworks.
Pezeshkian made the comments in a phone call with Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman, Iran’s official news agency IRNA reported.
The call comes a day after US President Donald Trump announced a ceasefire deal between Israel and Iran.
Nani alipigwa kama Ngoma kwa maoni yakoHawa pwagu na pwaguzi kila mtu anasema ameshinda vita😀😀😀😀😀
We ni mpumbavu kabisa na tumbo lako kama umebeba mimba ya tembo...We kilaza hivi nyuklia unaijua au unaisikia tu
Hilo eneo lisingekalika milele hapo
China + korea+ urusi Hii combo marekani haiwezi.
Ata wasingekuwepo. Hana nguvu hiyo.
Kwani ulidhani ni waarabu?Daaaah ila iran nimewakubali aisee hawa jamaa wako tofauti na waarab kabisa
Unaijua NATO unaiskia?China + korea+ urusi Hii combo marekani haiwezi.