Israel ilijua wakiua generals wa Iran, Iran ita collapse na uongozi kuanguka, wananchi watapata nguvu na kuandamana kupinga Khamenei regime, pia walijua hayo ma GBU-57 ambayo huwa wanayapigia domo kwamba ni mabomu ya hatari yangetifua kifusi nuclear facility...
Matokeo yake wamefeli vibaya...
Kilichotokea ni Iran kuionyesha dunia arrow ADS, irone dome ADS ,THAAD n.k ni utapeli na watu wasinunue kwa maana hawapo salama...
Iran pia wameionyesha dunia Israel pasipo US ni walaini kama unyoya...
Ahsante sana Tehran..