Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Iran wana vinu vingapi, na vimepigwa vingapi?Lengo ilikua kuzuia udhalishaji ndio maana wakapiga vinu
Je, hivyo vilivyopigwa vimeharibika kabisa kiasi cha kushindwa kabisa kufanya kazi?
Iran wana vinu vingapi, na vimepigwa vingapi?Lengo ilikua kuzuia udhalishaji ndio maana wakapiga vinu
Lengo ilikua kuzuia udhalishaji ndio maana wakapiga vinu
We kilaza hivi nyuklia unaijua au unaisikia tuMalengo yametimia mpango wa nuclear ulokua unaelekea mwishoni umefutwa so itabidi waanze upya
Aanze kwanza kuacha kuvaa mitumbaNyoko eti ata mimi natengeneza Ebu kojoa kalale
Awajui wanaongea tu.We kilaza hivi nyuklia unaijua au unaisikia tu
Hilo eneo lisingekalika milele hapo
Mtu akishakuwa na Blueprint ya kutengeneza kitu Fulani huwezi mzuia Tena ni swala la muda TU Iran itamiliki nuclear, maana hii elimu tayari wanayo na sasa wanaifundisha darasani ndio maana strategy ya kuuwa wataalamu ilifeli,Malengo yametimia mpango wa nuclear ulokua unaelekea mwishoni umefutwa so itabidi waanze upya
Kwa nini wameshindwa kuvilinda mpaka vikapigwa?Iran wana vinu vingapi, na vimepigwa vingapi?
Je, hivyo vilivyopigwa vimeharibika kabisa kiasi cha kushindwa kabisa kufanya kazi?
Acha uongo mbona Nagasaki na Hiroshima watu wanaishi????We kilaza hivi nyuklia unaijua au unaisikia tu
Hilo eneo lisingekalika milele hapo