SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Moyo wangu umesuuzika .. cease fire ime collapse kwahiyo ni mwendo wa kunyukana. Sasa furaha yangu imerejea kwa kazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-143339~2.jpg
    Screenshot_20250624-143339~2.jpg
    90.7 KB · Views: 20
Katika mazungumzo ya Iran vs Urusi, Putin alimwambia FM wa iran kuwa Urusi ilifanya mazungumzo na rais wa USA, PM wa Israel, rais wa Emirates, na rais wa Iran kuhusu utatuzi wa vita inayoendelea.

Na alimshauri FM, watashauriana namna ya kutatua tatizo lililopo kwa sasa, ingawa wote ni wahanga; yeye akiwa na Ukraine huku Iran akiwa na Israel.

Inawezekana ata Marekani kushauri pande mbili kusitisha vita, imetokana na majadiliano yaliyofanyika, au baada ya kuona tayari ameshalipua maeneo yenye nyuklia.​
 
TANGAZO TANGAZO
Madanga wote wa JF mnaombwa kukaa mbali na MSHANGAZI Keyboard_Warrior aka chupi worrior kwani leo yuko hedhini na akiwa period anakua mgomvi anagombana hadi na sisi shoga zake kama hivi mnavyoona.

Kwa madanga ambao mshamlipa tunawasihi muendelee kuwa watulivu na tunawahakikishia akimaliza tu period huduma ya kuwapatia mauno itaendelea kama kawaida.

Kwa madanga mliotoka jela na wote mliozidiwa na upwiru kiasi kwamba hamuwezi kuvumilia amalize hedhi tunaomba muongeze hela kidogo kisha tuwape muongozo wa huduma.ya kufumua marinda.

ONYO;Kasema huduma ya kufumua marinda ni ya muda na ya dharura tu ili asipoteze wateja ila hataki muizoee.

Thank you for your attention to this matter.😎
Lol!
Umeniandalia KITINI.
 
nilikuwa na angalia Al-Jazeera
Israel wanailaumu Irani kwa kuvunja makubaliano ya ceasefire,
Irani nao wamekanusha kuwa siyo wao walio rusha hizo missile kwa maana hiyo hawakivunja makubaliano
Mkuu iran sio rahisi kukubali hivi kirahisi.
Israel wameua wanajeshi wengi kule mpk viongozi.
 
israel ilipokua inatarget wale viongozi wa kijeshi ambao wapo maeneo ya kiraia kombora likipigwa walipo hao lazima waliopo around nao wafe
Tumeona ee iran SI rahisi kusitisha.
Maana na yeye kapata madhara makubwa.
Ingekuwa mambo shwali kama wanavyodai hapo wairan wa namtumbo. Angeacha tuu
 
Muajemi mshenzi sana ana kutumia kipondo heavy ndio ana tangaza kukubali ceasefire
 
drone za iran ni bei rahisi ndo mana urusi alizikimbilia mana zile drone hazikua na chochote cha maana ndo mana ukraine alikua anazitungua zote bila kuleta maafa, alaf kwa sasa drone technology hizi za bei rahisi usifikiri ni big isue hizo hata mimi naweza kutengeneza.

pia urusi alikua sio superpower ila military alikua bado superpower, hadi sasa hivi superpower kijeshi ni urusi na marekani tuu..hakuna nchi itakaowakuta hao miaka 50 mbele
Nyoko eti ata mimi natengeneza Ebu kojoa kalale
 
Back
Top Bottom