SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran. Wanasayans 12+ dead
Israel. Wanasayans 0 dead
Iran . Makamanda wakijesh 21 dead
Israel. Kamanda mmoja kajeruhiwa
Irani. Maeneo yaliyo pigwa. Vituo vya kijeshi 49
Israel. Kituo cha utafit wa sayan 1
Irani. Hivadhi za silaha 89
Israel. Hifadhi za silaha 0
Iran ndege za kivita ( f4 nk) 67
Israel. Hakuna ndege ilio shambuliwa
Iran vifo 289 majeruhi 1870
Israel vifo 12 majeruhi 139

Hapo hajajumuisha virusha makombora wala ulinz wa anga ulio shambuliwa
...
Halafu mtu from no where anasema sitisheni vita.
Irani tumeumizwa sana na huu mpango wa kusitisha vita. Halaf tumeamriwa baada ya kusitisha vita turudi mezani.
Dunia kweli haina huruma.
 
Toa neno israel weka U.S.A

kupigana na marekani halafu ukamjeruhi hivyo ni sawa na ushindi

North korea sio kwamba anaweza kupigana na marekani bali north korea anaweza kumjeruhi marekani jambo amabalo marekani hapendezwi nalo
 
Kazi iendelee mpaka tuone panapovuja
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-152403~2.jpg
    Screenshot_20250624-152403~2.jpg
    72.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250624-150208.jpg
    Screenshot_20250624-150208.jpg
    241.9 KB · Views: 21
Iran ikikubali kusitisha mapigano nitawaona mashouger na israel + USA wakikubali kuendelea kudundwa nitawaona wapuuzi sana..hakuna kitu na chukia kama hizo kauki za cease fire na chukia sana mimi ni heri iran iendelee kutudunda mpaka imalize alafu tuhamie pengine tudundwe tena mpaka siku nyingine tuishi kwa adabu maana wanadamu tumezidi kutishiana
wakati wewe unaogopa hata kuandamana
 
🔥Vinu ya nuclear

🔥Anga ya iran

🔥Majenerali wa jeshi

🔥Maeneo ya kutunza na kutengeneza silaha

🔥Vituo vya polisi (islamic guards)

🔥Vituo vya propaganda

🔥Maeneo ya kurusha makombora

🔥Gereza la Evin
Bado upande wa pili
 
Iran. Wanasayans 12+ dead
Israel. Wanasayans 0 dead
Iran . Makamanda wakijesh 21 dead
Israel. Kamanda mmoja kajeruhiwa
Irani. Maeneo yaliyo pigwa. Vituo vya kijeshi 49
Israel. Kituo cha utafit wa sayan 1
Irani. Hivadhi za silaha 89
Israel. Hifadhi za silaha 0
Iran ndege za kivita ( f4 nk) 67
Israel. Hakuna ndege ilio shambuliwa
Iran vifo 289 majeruhi 1870
Israel vifo 12 majeruhi 139

Hapo hajajumuisha virusha makombora wala ulinz wa anga ulio shambuliwa
...
Halafu mtu from no where anasema sitisheni vita.
Irani tumeumizwa sana na huu mpango wa kusitisha vita. Halaf tumeamriwa baada ya kusitisha vita turudi mezani.
Dunia kweli haina huruma.
Kumbuka iran kaviziwa waliungana na wanaoipinga serikali iliyoko mamlakani wakaanza kutengeneza drons ndani ya iran na walikuwa wanalipua ndani ya irani wakati iran hakuwa na maandalizi yavita

All in all israel alikuwa anampigana na ukoo wake maana ibrahim ndiyo taifa alilotoka

Iran kasimama kiume sana without bias

Lkn pia USA ndiyo aliyepigana sana
 
za chini chini pia Saudiarabi imesema wapo nyuma ya Qatar ikiwa watarespomd.

Ngoja tuone
 

Attachments

  • Screenshot_20250624-154136~5.jpg
    Screenshot_20250624-154136~5.jpg
    25.3 KB · Views: 18
Katika mazungumzo ya Iran vs Urusi, Putin alimwambia FM wa iran kuwa Urusi ilifanya mazungumzo na rais wa USA, PM wa Israel, rais wa Emirates, na rais wa Iran kuhusu utatuzi wa vita inayoendelea.

Na alimshauri FM, watashauriana namna ya kutatua tatizo lililopo kwa sasa, ingawa wote ni wahanga; yeye akiwa na Ukraine huku Iran akiwa na Israel.

Inawezekana ata Marekani kushauri pande mbili kusitisha vita, imetokana na majadiliano yaliyofanyika, au baada ya kuona tayari ameshalipua maeneo yenye nyuklia.​

Toa neno israel weka U.S.A

kupigana na marekani halafu ukamjeruhi hivyo ni sawa na ushindi

North korea sio kwamba anaweza kupigana na marekani bali north korea anaweza kumjeruhi marekani jambo amabalo marekani hapendezwi nalo
The powerful AIPAC ndyo mchawi, Israel lobby (wayahudi walioko marekani) ndyo wanayo-control US foreign policy na interests za ISRAEL

View: https://www.tiktok.com/@worldacademicpodcast/video/7498811092022414647?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Bado Kuna majadiliani Iran kuwa washambulie kambi za marekani au wasishambulie, ijapokuwa amri ya kushambulia ilishatoka. Ngoja tusubiri

Kumbuka iran kaviziwa waliungana na wanaoipinga serikali iliyoko mamlakani wakaanza kutengeneza drons ndani ya iran na walikuwa wanalipua ndani ya irani wakati iran hakuwa na maandalizi yavita

All in all israel alikuwa anampigana na ukoo wake maana ibrahim ndiyo taifa alilotoka

Iran kasimama kiume sana without bias

Lkn pia USA ndiyo aliyepigana sana

Kumbuka iran kaviziwa waliungana na wanaoipinga serikali iliyoko mamlakani wakaanza kutengeneza drons ndani ya iran na walikuwa wanalipua ndani ya irani wakati iran hakuwa na maandalizi yavita

All in all israel alikuwa anampigana na ukoo wake maana ibrahim ndiyo taifa alilotoka

Iran kasimama kiume sana without bias

Lkn pia USA ndiyo aliyepigana sana
Dah, theology ya chuo gani hii
 
Back
Top Bottom