SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wewe jamaa unalala muda Iran ikianza kupeleka MOTO !!

sasa nikama unazima TV wkt Ukishajua kwasasa matangazo yatakuwa kuusu Iran kuchapa wana wenu taifa teule la mchongo !!

hiii sio Double Standards waungwana !!!¡!!!!!!!!!!!!!
Mkuu pitia tena updates za mashambulizi ya Iran ya asubuhi, niliyaweka yote
 
imeua raia wengi lakini target yake ilikua ni maeneo ya kijeshi na sio maeneo ya kira
Si kweli, Israel imeua raia wengi zaidi Iran kuliko Iran...
ni kweli lakini target ya israel ilikua ni maenao ya kijeshi sasa hao wanaokufa unakuta wako maeneo hayo, tofauti na iran ambayo imeshambulia maeneo ya kiraia
 
israel ilipokua inatarget wale viongozi wa kijeshi ambao wapo maeneo ya kiraia kombora likipigwa walipo hao lazima waliopo around nao wafe
Bosi una angalia vyombo gani vya habari? Iran asilimia kubwa yanapigwa maeneo ya Civilian kuliko ya Jeshi, leo tu wamekufa Watoto si chini ya 50, watoto wanakaa kambi gani ya Jeshi? Toka vita Vianze umeskia watoto wa ngapi wa Israel wamekufa?
 
Baada ya 1991, Urusi ilidhoofika sana kiuchumi na kijeshi kutokana na kuvunjika kwa Umoja wa Kisovyeti.

Iliendelea kuwa nchi yenye silaha za nyuklia, kiti cha kudumu UN, na urithi wa kisiasa wa USSR , lakini haikuwa tena nguvu ya kiulimwengu kama zamani.

Haikuchukuliwa kama big power kikamilifu hadi ilipoanza kuimarika tena chini ya Putin kuanzia mwaka 2008 na kuendelea....

Pia China Kiuchumi, ilikuwa inakua kwa kasi, lakini haikuwa bado na ushawishi wa kijeshi au kimataifa kama ilivyo leo.

Katika miaka ya 1990 hadi mapema 2000, China haikuchukuliwa kama superpower au hata great power kamili, bali kama taifa linaloinukia , emerging power...

China ilianza kuonekana kama rising global power zaidi kuanzia 2008 hadi 2010, hasa baada ya kukabiliana vizuri na mdororo wa uchumi wa dunia....

Hivyo katika hiko kipindi Iran ilikuwepo ikipambana na vikwazo, haikuanguka, ilipambana kibishi, hoja yako kwamba Iran alikuwa na marafiki superpowers ndio maana ika survive ni mfu... kipindi hiko kila nchi ilikuwa inajipambania kunyanyuka, kila mmoja akipambana na hali yake...

Iran ina copy na paste, je drones zake ilizompa russia wali copy na ku paste kutoka kwa nani?
drone za iran ni bei rahisi ndo mana urusi alizikimbilia mana zile drone hazikua na chochote cha maana ndo mana ukraine alikua anazitungua zote bila kuleta maafa, alaf kwa sasa drone technology hizi za bei rahisi usifikiri ni big isue hizo hata mimi naweza kutengeneza.

pia urusi alikua sio superpower ila military alikua bado superpower, hadi sasa hivi superpower kijeshi ni urusi na marekani tuu..hakuna nchi itakaowakuta hao miaka 50 mbele
 
Unajitongozesha!?
TANGAZO TANGAZO
Madanga wote wa JF mnaombwa kukaa mbali na MSHANGAZI Keyboard_Warrior aka chupi worrior kwani leo yuko hedhini na akiwa period anakua mgomvi anagombana hadi na sisi shoga zake kama hivi mnavyoona.

Kwa madanga ambao mshamlipa tunawasihi muendelee kuwa watulivu na tunawahakikishia akimaliza tu period huduma ya kuwapatia mauno itaendelea kama kawaida.

Kwa madanga mliotoka jela na wote mliozidiwa na upwiru kiasi kwamba hamuwezi kuvumilia amalize hedhi tunaomba muongeze hela kidogo kisha tuwape muongozo wa huduma.ya kufumua marinda.

ONYO;Kasema huduma ya kufumua marinda ni ya muda na ya dharura tu ili asipoteze wateja ila hataki muizoee.

Thank you for your attention to this matter.😎
 
nilikuwa na angalia Al-Jazeera
Israel wanailaumu Irani kwa kuvunja makubaliano ya ceasefire,
Irani nao wamekanusha kuwa siyo wao walio rusha hizo missile kwa maana hiyo hawakivunja makubaliano
WaIran ni *******😂😂😂😂😂.
 
Si ndio ajabu hio wakanisa wanajua wazi Israel si taifa la Mungu basi hawana jinsi ni lazima wabishe tu sababu bibilia yao itaonekana ni fake.
Mkuu mm nilichokueleza ni kuwa hao wote bado Wana hamu ya kupigana, ndio maana wote wamevunja huzo kanuni za ceasefire toka ianze.

Israel muda huu ndege Vita zake zipo juu ya anga la Iran, wanataka kushambulia, unafikiri Iran watakaa kimya? Nao watajjbu vikali sana.
Ngoja tusubiri mkuu Nini kitaendelea
 
Mkuu mm nilichokueleza ni kuwa hao wote bado Wana hamu ya kupigana, ndio maana wote wamevunja huzo kanuni za ceasefire toka ianze.

Israel muda huu ndege Vita zake zipo juu ya anga la Iran, wanataka kushambulia, unafikiri Iran watakaa kimya? Nao watajjbu vikali sana.
Ngoja tusubiri mkuu Nini kitaendelea
Angalia base USA kule Qatar ilivyo tiwa moto afu wengine wanasema hakuna Missiles ilio piga

View: https://x.com/iran_thran/status/1937205902001713307?t=jVHHCS3xQ4Miwk53PJ9h9g&s=19
 
Iran ikikubali kusitisha mapigano nitawaona mashouger na israel + USA wakikubali kuendelea kudundwa nitawaona wapuuzi sana..hakuna kitu na chukia kama hizo kauki za cease fire na chukia sana mimi ni heri iran iendelee kutudunda mpaka imalize alafu tuhamie pengine tudundwe tena mpaka siku nyingine tuishi kwa adabu maana wanadamu tumezidi kutishiana
 
Aina ya makombora yaliyotumika waliyaelezea ni light mid range missiles.
Sio heavy long range missiles kama zilizotumika Israel.

Kama kuna mtu anadhani hii vita itaisha hivi karibuni anajidanganya,vita ndio karibu inaanza,kinachoendelea ni maandalizi ya hiyo vita tu, itachukua miaka mingi,si mmoja wala miwili.Nitakuwepo kuwakumbusha kobazi na kafiri
Wakati mwingine ujuaji mwingi mbele giza
 
Back
Top Bottom