My dear, jipe muda tu ujifunze uhalisia wa mambo, hutakuja kuwa na haya maswali. Ni system ya mahandaki ndo inaipa changamoto Israel. Israel walijua Hamas wamejenga mahandaki but hali ni complex sana. Given the fact kuwa hayo mahandaki yanatumiwa na magaidi lakini pia watu wao yaani mateka wamehifadhiwa humo pia. Ndo maana Ile idea ya kuyajaza maji kutoka baharini waliachana nayo mapema kabisa.
Kama ungekuwa curious ungefuatilia mahojiano ya mateka waliorejeshea home, ungejua how complex tunnel system Hamas wamefanikiwa kuijenga. Its. Such a scary world wenye giza kama kuzimu. So, Ukifikiria katika square miles ya urefu na upana au mzingo na kipenyo, sure eneo ni dogo But siyo rahisi kama unavyodhani, na kumbuka hizo ni tunnel za siri, so ukiwa juu huoni. Uhalisia ni kuwa vertically, kuna mfumo mwingine wa maisha hao magaidi wameutengeneza hapo Gaza. Hela yote wanayodonate Iran, na matajiri wa imani kali iliishia SIYO kuijenga Gaza juu, bali kujenga na kuimarisha huo mfumo wa njia za mashimo kama panya. Na of course kuwatahirisha akina Haniyah na marehemu wenzake waliokuwa wanaponda raha Doha.
Kila mateka kuna wakati alisikia na kujua wanajeshi wao wako juu wanapigana . Zaidi ya hayo, mateka wameishi kwa kuhamishwa kutoka tunnel moja kwenda jingine, kwa kutumia fursa pale Israel ilipotangaza kuwatahadhalisha raia wahame kwenye majengo wanayotaka kuyapiga. Na pia siyo kwamba wanarundikwa pamoja, since day 1 walitenganishwa kwenye vikundi vya watu wachache wachache, chini ya 10 na kisha wakaendelea kuwamega hadi wengine walijikuta wamebaki mmoja mmoja, na kila mateka aliwa chini ya ulinzi wa magaidi hata 6, huko chini. This is how Hamas works. Na ukweli ninkuwa, Hamas na Wapalestina ni kitu kimoja, but dunia ilo deceived kuwa raia wanalazimishwa, but most of them wanapenda kile Hamas anachofanya, and they work together. Sikiliza hata interview moja utaelewa namaanisha nini.
So kumdhoofisha Irani kunaihakikishia pia Israel kuwa, Hamas anadhoofishwa hata zaidi, maana ndo alikuwa main funder wao, na hata hao Houthis na Hezbollah.