SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila iran wajiamgalie Tena.
Inaonekana Kuna shida kubwa sana katika system zao za kiutawala.
Hasa jensi ya kiuteuzi wa viongozi hata wa kijeshi.
Wajitafakali kwa Hilo.

Msuguano huu kwao, imeshangaza maana adui anawezaje kujua viongozi wa jeshi wamejificha wapi daaa, inashangaza sana.
Pia nimeona Kuna shida hata katika kulinda watu muhimu katika nchi Yao , pia ni tatizo kwao.

Pia iran mimi najua wanaait defense system nyingi sana.
Ila nimeshangaa zimearibiwa kirahisi sana.
Wamefika wakati mpk wanawinda drone kwa anti aircraft gun kweli.
Tena za miaka ya nyuma sana.
Hata speed ya risasi ni ndogo sana.

Wawekeze kwenye jeshi la angu ,
Wangefanya hivyo Tangu 20 years ago basi wangekuwa na jeti zao mzuri sana.
Wasingeaangaika kuombaomba kununua china na urusi huko.
 
Kwa niaba ya Kobazi wote tunawashukuru sana iran wametuheshimisha sana

Kwa kifupi sana aliyeshinda vita ni iran,kwasababu wapinzani wake wameomba poo wenyewe,hakuna ubishi wamejitathimini na kuona mahesabu yao hayakuwa sahihi

Kitendo cha iran,kufight back kwa Israel katika ukubwa ambao haukutarajiwa hata na waisrael wenyewe pamoja na washirika wao wamarekani wakiwemo waisrael wa namtumbo na buza,imeonyesha uwezo wa iran katika medani ya vita

Kwa kiburi na ubabe wa Israel kuomba poo wakati inafahamika wazi alitaka kumaliza vinu vya nyuklia na kubadilisha regime,imeonyesha ameshindwa kufikia malengo husika,ingawa mbele ya public anajigamba kwamba ametimiza malengo yake

Bwana mkubwa trump,baada ya kulipua nyuklia site,alidhani kwamba ametoa onyo kwa iran,na hata kutoa matamshi ya kiburi kwamba Raisi akiongea inabidi asikilizwe lakini kinyume chake iran wakamjibu kwa vitendo kwa kulipua base zake za kijeshi

Iran ameonyesha haogopi mtu yoyote linapokuja swala la kulinda heshima yake na utamaduni wake

Israel naifananisha na bondia Mike tyson anapenda amalize pambano kwa mda mfupi lakini ukiweza kumbana mpaka round ya saba au ya nane lazima arushe taulo ulingoni

Israel alidhani kwamba ataimaliza Iran ndani ya siku moja au mbili lkn akaona mwamba bado anahimili mapigano,chap amerusha taulo ulingoni ingawa nyie waisrael wa buza na namtumbo hamtaelewa

Tasmini yangu,hii vita haijaisha,hapa kuna kuviziana au kujipanga upya,na muajemi analijua hilo,kwahiyo iran haitakaa kizembe,tusubirie kipindi cha pili ama Khomein auwawe au Netanyau

Kobazi tugonge gahawa na halua kwa roho safi

Ni hayo tu!
 
So kama huna picha ndo utume clip fake? Ushaambiwa no casualties kwenye kambi yenye wanajeshi takrivani 4000, akilini mwako unapata ujumbe gani?
Walitoa majeshi na vifaa since last week.
Wao wenyewe waliamua hivyo.
Mpk iran walilalamika , wakasema ndege zenu kwenye makambi yenu zimeondoka zimeenda wapi pamoja na vifaa since last week
 
US aliweka kambi pale kwa ajili ya Iraq na Iran, Iraq ishajifia na sasa hivi Iran ndio inaelekea kibra
wanjiru wewe nafikili hujawajua vizuri tofauti kati ya iraq na iran. iraq alishawahi kua kibaraka wa marekani na ndio wakati wairaq wanapigana na iran.Iran ilimuonya muiraq kwa usaliti ule wa kutumiwa na marekani kupigana na irani kwa miaka 8.

wairani walimwambia muiraq hicho unarofanya ndugu yangu kuna siku wamarekani hao watakugeuka.na ndicho kilichomkuta sadam wakati ule. ila muiran akasema kutokana na hili sasa ni lazima tuwekeze na sisi kwenye mambo ya kijeshi.

hatukatai. kwajinsi hila za wazungu zilivyo iran atapigwa tu wakiamua ila kwa galamu kubwa sana.
 
20250624_110810.jpg


Atomic Energy Organization of Iran chief Mohammad Eslami:

We had made prior arrangements to rebuild our nuclear program, and we are currently assessing the damages.
 
Announcement from the Israeli government:

Last night, Prime Minister Benjamin Netanyahu convened the cabinet together with the Minister of Defense, the Chief of Staff, and the head of the Mossad, to report that Israel had achieved all the objectives of Operation "Rising Lion," and even much more.

Israel has removed a dual immediate existential threat – both in the nuclear field and in the field of ballistic missiles.
In addition, the IDF achieved complete air control over the skies of Tehran, inflicted severe damage on the military leadership, and destroyed dozens of central Iranian government targets.

In the past 24 hours, the IDF has also severely struck government targets in the heart of Tehran, eliminating hundreds of Basij operatives - the terrorist regime's suppression mechanism - and eliminating another senior nuclear scientist.

Israel thanks President Trump and the United States for their defense support and participation in eliminating the Iranian nuclear threat.

In light of the achievement of the operation's objectives, and in full coordination with President Trump, Israel agreed to the president's proposal for a bilateral ceasefire.

Israel will respond forcefully to any violation of the ceasefire.

Israeli citizens must continue to adhere to the Home Front Command's instructions until full compliance with the ceasefire is confirmed.

Our hearts go out to the families who lost their loved ones and we send wishes for a full recovery to the injured.

In Operation "Rising Lion," the State of Israel achieved great historical achievements and placed itself on a par with the world powers.

This is a tremendous success for the people of Israel and its fighters who removed the two existential threats to our state, and ensured the eternity of Israel.

The Prime Minister will make a statement later today.
Kumbe uchawa siyo bongo tu hata huko mambele upo, hapa naona Trump tu, utafikiri yeye ndiyo ametoa hiyo misaada.
 
Back
Top Bottom