Sasa unasingizia mahandaki, hio si mbinu ya kivita, yaani ni sawa na mpira uchezwe ufungwe uanze kusema wachezaji wa timu nyingine kazi yao ni kulinda goli tu na kujazana golini ndio maana hawafungiki..
My friend, hizo ni strategy za Hamas, kwa maaana ukiwauliza Hamas na wao kwanini wapo chini watakuambia Israel ina ndege za kivita na sisi hatuna, Israel inapewa misaada ya silaha na drone na US na sisi hatuna....
Suala la kuwa na mahandaki si uhalifu wa kivita ni strategy, ni kama Israel ilivyo na vifaru, ndege vita, helicopter na huku Hamas hawana....
Nilitegemea intel ya Israel inavyosifika ingeweza kutambua mara moja hayo mahandaki nji zake zote, wanegundua kupitia mashushu pale Gaza... lakini matokeo yake kashindwa.....
Yaani Dar Es Salaam inapambana na Kigamboni na huku Kigamboni imezungukwa lakini intel inafeli.... hii inashangaza, Gaza imezungukwa pande zote.... drones zipo juu, satellites zipo juu.. lakini wapi.
Intel imefeli pia kipindi Hamas wanaanza kuengeneza hayo mahandaki kwa siri kwa muda mrefu...
Israel is over rated... full stop..