SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Na sisi hapa jf muda si mrefu tunatangaza ceasefire, kuanzia saa 4 asubuhi kobazi tuna ceasefire , ole wake wazayuni wachokoze...

25bc2d99da8c8a5e1db62b00c1221e3746417bd53a1a8f752ce5f276_tmpqocnvnj7.jpg
 
Al-Jazeera ilikuwa inaisema sana Israel

Kule Israel wameomba vita viishe na Iran kawajibu bado mda wa kusimamisha vita haujafika. Kichapo kinaendelea kama kawaida kule Israel

Chakuchekesha Qatar anasema ana haki ya kulipa kipigo hahaha kivipi? Qatar wanasema wameangusha Missiles 9 na moja imeanguka kwenye empty area ikiwa Iran kasema katumia 6 Missiles kama alivyo tumia USA 6 Missiles kupiga Iran kweli Qatar wakuweza kupigana na Iran ajabu kweli ikiwa Israel anaomba vita viishe na Iran.
Kuna watu mko misinformed hadi mnatia huruma. Vyanzo vyenu vya habari ni vipi? Umeambiwa kombora lililofanikiwa kupiga limeangukia empty space, yaani hakuna madhara, tisa mengine yote yametungukiwa yote. Sasa hapa excitement inakujaje? Yaani wewe ukisikia Iran amerusha kombora basi ni sherehe, bila kujali hilo kombora limeleta impact gani? Reality ni kuwa, Iran anapata hasara kubwa sana ya response maana 99% ya mashuti yake ni anabutua hewa, huku mwenzake anamfunga magoli kila shuti analenga golini.
 
Hii vita ishakuwa ya upande mmoja sasa na anaepata hasara kuja kujenga upya ni Iran zaidi,kama nuclear sites zishaharibiwa aombe tuu mazungumzo asiendelee kupata hasara zaidi.
We jamaa unajitahidi kuidunisha Iran iyonekane kama akuna inachofanya pamoja na ukweli miji ya Netanyahu imeunguzwa vibaya !!

2 Tramp alidai akiguswa popote Iran itawaka Moto !!!

JE ajaguswa ? Kajibu nn ¿¿ leo Tramp kashikwa na kupapaswa kambi yake ya apo Qatar ndio Kambi kubwa zaid ilo eneo!!

lkn Tramp kaikimbia kambi yake na Iran kaibonda na zengine leo ww unaweza kuidunisha SUPER POWER WA MID EST IRAN taifa teule og
 
Hii kwanini Iran inaingia ceasefire haliya kuwa Israel ilikuwa imeanza kuchoka?
Kwa maana walioomba ceasefire nI Israelkupitia Trump...
Iran mjanja,hii ceasefire ya mtego.
We fikiria kaka watu wanatangaza mazungumzo ya ceasefire Iran akafanya mashambulizi Israel.
Na anasema Israel aki act yeye ata react,mtego huo.
 
- Israel ndiye kaanza kuishambulia Iran.

-Israel ikaangaza operation lengo ni kufanya regime change na kuharibu mpango wa nuclear wa Tehran.

-Iran inajibu mashambulizi kwa kupiga kambi za jeshi, vituo vya usalama, miundombinu...

-Israel inaomba aongezwe msaada na US kwa sababu hawana uwezo kulipua vinu vya Iran.

-US inaingilia mgogoro kwa kuisadia Israel, silaha, ndege na intel.

-US inapiga vinu vya nuclear Iran kwa B-2 bombers..

-Iran inatangaza kulipiza kisasi..

-US imeshindwa kuharibu vinu vya nuclear.

-US inatangaza kuomba amani, na kuonya endapo Iran italipiza kisasi... itajibiwa kwa kipigo heavy..

-US inaanza ku evacuate kambi zake zote za kijeshi middle East na kuwa kwenye high alert..

--Iran inarusha mashambulizi kuelekea kambi za US..

-US inaufyata. huku wakiomba amani kwa Israel na Iran.

-Iran tarehe 24 june alfajiri inafanya mashambulizi Israel na kuua watu..

-Israel inatulia...

Hakuna regime change, hakuna nuclear facility imeharibiwa...

Hapa mshindi ni Iran, malengo yote ya Israel hayajafanikiwa...
 
Kuna watu mko misinformed hadi mnatia huruma. Vyanzo vyenu vya habari ni vipi? Umeambiwa kombora lililofanikiwa kupiga limeangukia empty space, yaani hakuna madhara, tisa mengine yote yametungukiwa yote. Sasa hapa excitement inakujaje? Yaani wewe ukisikia Iran amerusha kombora basi ni sherehe, bila kujali hilo kombora limeleta impact gani? Reality ni kuwa, Iran anapata hasara kubwa sana ya response maana 99% ya mashuti yake ni anabutua hewa, huku mwenzake anamfunga magoli kila shuti analenga golini.
Sasa wewe ndio uko misinformed.
Embu nenda katizame makombora yaliyotumika kupiga kambi za Iraq na Syria kama yanafanana na ya Al udeid Qatar.
Inasemekana huko kambi za US Syria na Iraq zimepatwa na shambulizi.
Ni Qatar tu ndio shambulizi lilizuiliwa kwasababu makombora yaliyotumika ni mepesi ya masafa ya kati.
Na hili nahisi Iran ime minimize shambulizi Qatar kwasababu mwaka Jana walipatana kidiplomasia na wlaiahidiana kushirikiana hususan kwenye silaha pia.
 
Ilikuwaje mateka waliokuwa na Hamas walipigana pale pale Gaza, maeka wapo pale pale, kieneo ukubwa wa kata, lakini wamezungushwa hadi wakakubali kubadilishana mateka?

Hao Hamas wenyewe hawana ndege vita, hawana kifaru, satellite, hawana hypersonic, wana bunduki na maroketi ya kutengeneza kienyeji... ilikuwaje IDF ika kubali kuingia makubaliano ya kubadilishana mateka, hio intel yao ilishindwa kubaini mateka pale Gaza?
My dear, jipe muda tu ujifunze uhalisia wa mambo, hutakuja kuwa na haya maswali. Ni system ya mahandaki ndo inaipa changamoto Israel. Israel walijua Hamas wamejenga mahandaki but hali ni complex sana. Given the fact kuwa hayo mahandaki yanatumiwa na magaidi lakini pia watu wao yaani mateka wamehifadhiwa humo pia. Ndo maana Ile idea ya kuyajaza maji kutoka baharini waliachana nayo mapema kabisa.


Kama ungekuwa curious ungefuatilia mahojiano ya mateka waliorejeshea home, ungejua how complex tunnel system Hamas wamefanikiwa kuijenga. Its. Such a scary world wenye giza kama kuzimu. So, Ukifikiria katika square miles ya urefu na upana au mzingo na kipenyo, sure eneo ni dogo But siyo rahisi kama unavyodhani, na kumbuka hizo ni tunnel za siri, so ukiwa juu huoni. Uhalisia ni kuwa vertically, kuna mfumo mwingine wa maisha hao magaidi wameutengeneza hapo Gaza. Hela yote wanayodonate Iran, na matajiri wa imani kali iliishia SIYO kuijenga Gaza juu, bali kujenga na kuimarisha huo mfumo wa njia za mashimo kama panya. Na of course kuwatahirisha akina Haniyah na marehemu wenzake waliokuwa wanaponda raha Doha.

Kila mateka kuna wakati alisikia na kujua wanajeshi wao wako juu wanapigana . Zaidi ya hayo, mateka wameishi kwa kuhamishwa kutoka tunnel moja kwenda jingine, kwa kutumia fursa pale Israel ilipotangaza kuwatahadhalisha raia wahame kwenye majengo wanayotaka kuyapiga. Na pia siyo kwamba wanarundikwa pamoja, since day 1 walitenganishwa kwenye vikundi vya watu wachache wachache, chini ya 10 na kisha wakaendelea kuwamega hadi wengine walijikuta wamebaki mmoja mmoja, na kila mateka aliwa chini ya ulinzi wa magaidi hata 6, huko chini. This is how Hamas works. Na ukweli ninkuwa, Hamas na Wapalestina ni kitu kimoja, but dunia ilo deceived kuwa raia wanalazimishwa, but most of them wanapenda kile Hamas anachofanya, and they work together. Sikiliza hata interview moja utaelewa namaanisha nini.

So kumdhoofisha Irani kunaihakikishia pia Israel kuwa, Hamas anadhoofishwa hata zaidi, maana ndo alikuwa main funder wao, na hata hao Houthis na Hezbollah.
 
Kuna watu mko misinformed hadi mnatia huruma. Vyanzo vyenu vya habari ni vipi? Umeambiwa kombora lililofanikiwa kupiga limeangukia empty space, yaani hakuna madhara, tisa mengine yote yametungukiwa yote. Sasa hapa excitement inakujaje? Yaani wewe ukisikia Iran amerusha kombora basi ni sherehe, bila kujali hilo kombora limeleta impact gani? Reality ni kuwa, Iran anapata hasara kubwa sana ya response maana 99% ya mashuti yake ni anabutua hewa, huku mwenzake anamfunga magoli kila shuti analenga golini.
Wewe kenge kweli hao wanasema makombora wameyatungua kama vile wewe si ndio unavyo amini kutokana na akili yako ya ki kenge.

Trump na wizara yake ya majeshi wanasema Iran kapiga base lakini hawakuwepo wanajeshi wamarekani time zile sababu Iran ili wa informed na anaishukuru..

Iran wanasema wamepiga base we unatuletea ujinga hapa wa kondoa si bora uendelee kutoboa masikio wakuvishe kengele la ngo'mbe

Tazama Missiles zimeland kwenye base we baki namatongo tongo yako huku unalamba makamasi yako


View: https://youtu.be/LuhC3z2_uIg?si=75rXdwNrZrYYT3g7
 
Back
Top Bottom