SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Malengo ya Israel kwenye hii vita ilikua ni kutoa utawala wa mapinduzi wa kishia.
Badala yake raia wakaungana na serikali yao.
Pasi na kupepesa jicho Israel ndiye aliyeshindwa vita hii.
Israel wame fail target yao.
Lakini ni wakati mzuri wa Iran kuli restore air defense zao kwa upana wake na kusafisha nyoka wa Israel kwa ndani
 
Hapa hakuna ceasefire hapa,hii ceasefire imekaa kimtego.
Iran foreign ministry inasema imesitisha kushambulia Israel kwa muda huu tu,inaonesha Israel akithubutu kulipa kisasi Iran anaendelea na mashambulizi.
Na sidhani kama Israel atakubali kukaa kimya ilhali raia wanne na majeruhi kibao tu wamepatikana usiku wa kuamkia leo.
Israel nae mjinga wakati anataka ceasefire huku anashambulia alitegemea nini?
 
Ceasefire haiweleweki kila upande unataka mara hautaki.
Mm binafsi napenda waendelee kutwangana. Makombora yaendelee kila mmoja apige kadri ansvyoweza
 
Israel nae mjinga wakati anataka ceasefire huku anashambulia alitegemea nini?
Ndio Iran kushambulia yeye wa mwisho.
Na anasema amesitisha mashambulizi kwasasa,ila Israel aki act yeye ata react,sasa usiku kuamkia asubuhi Kuna vifo na majeruhi Israel,je Israel itakubali kukaa kimya pasi na kujibu?
 
Aljazeera wanasema kambi ya USA ndani ya Iraq imeshambuliwa usiku wa kuamkia leo.
Ila bado hawajapata taarifa ya maafa.
Mie nahisi USA kutaka ceasefire ameona dalili ya kambi zake kuathirika wala si vinginevyo.
Kambi ya Syria imebutuliwa kiuhakika,kambi ya Iraq taarifa za maafa zinasubiriwa ni kambi ya Qatar tu ndio inasemekana interception zilifanikiwa.
 
Ndio Iran kushambulia yeye wa mwisho.
Na anasema amesitisha mashambulizi kwasasa,ila Israel aki act yeye ata react,sasa usiku kuamkia asubuhi Kuna vifo na majeruhi Israel,je Israel itakubali kukaa kimya pasi na kujibu?
Hii kwanini Iran inaingia ceasefire haliya kuwa Israel ilikuwa imeanza kuchoka?
Kwa maana walioomba ceasefire nI Israelkupitia Trump...
 
Inaonekana mabadiliko ya kiutawala ndani ya Iran muitikio ni mdogo tofauti na ilivyo fikiriwa na mashambulizi ya Fordow hayajaleta impact iliyo hitajiwa wenda pia na mashambulizi ya jana ya Iran yameleta hizi danganya toto za ceasefire.

Ila nasema Iran ana hitaji nyuklia kwa hali na mali wakichomoka katika hili wana hitaji kutengeneza Nyuklia,Hydrogen bombs na kila aina ya uchafu wa mabomu.

Watahitaji kuongeza budget ya ulinzi nguvu kubwa waongeze huko haka kula nyasi sometimes namuelewa Kim kuonhekana kichaa kuweka pesa na nguvu kubwa ya nishati na kila mali ku develop jeshi lake.

Bila jeshi imara Iran itateseka sana hapo middle east maana imebaki pekee.

Wanahitaji pia kufumua idara ya usalama katika vyombo vya ulinzi
 
Hapa hakuna ceasefire hapa,hii ceasefire imekaa kimtego.
Iran foreign ministry inasema imesitisha kushambulia Israel kwa muda huu tu,inaonesha Israel akithubutu kulipa kisasi Iran anaendelea na mashambulizi.
Na sidhani kama Israel atakubali kukaa kimya ilhali raia wanne na majeruhi kibao tu wamepatikana usiku wa kuamkia leo.
Waliokufa ni zaidi ama 11... beersheba...
 
Malengo ya Israel kwenye hii vita ilikua ni kutoa utawala wa mapinduzi wa kishia.
Badala yake raia wakaungana na serikali yao.
Pasi na kupepesa jicho Israel ndiye aliyeshindwa vita hii.
Mwisho wa siku Iran imejitoa rasmi International Atomic Energy Agency!
Israel na US walikuwa wanatumia hawa jamaa kuchukua taarifa za Iran.
 
Back
Top Bottom