SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥💥💥
Iran imerusha makombora muda huu kuelekea kusini mwa Israel
20250624_050609.jpg
 
Hebrew media: wanasema Iran inakiuka ceasefire

Lakini tuseme ule ukweli, Israel kashambulia sana leo kwa makombora Tehran na miji mingine kwa masaa 7. He Iran angekaa kiua tu yeye ndio awe wa mwisho kuathirika?
 
Hii ni strategic cease fire, Iran awe makini.

Huu ni muda kuua moles wote na kuboresha mifumo yake ya ujasusi, ili ndani ya ardhi yake pawe air tight.
Huu ni muda wa kukusanya taarifa za maeneo ya kupiga ndani ya Israeli.

Huu ni muda wa kukusanya makombora na vitu muhimu kutoka kwa marafiki kama Urusi, China, DRNK, nk.

Never trust on USA and Israeli.
 
Hebrew media: wanasema Iran inakiuka ceasefire

Lakini tuseme ule ukweli, Israel kashambulia sana leo kwa makombora Tehran na miji mingine kwa masaa 7. He Iran angekaa kiua tu yeye ndio awe wa mwisho kuathirika?

Never trust on USA and Israeli.

Wazo la ceasefire inaonekana Israeli na USA walishakuwa nalo, ndio maana Israeli in two days ameshambulia sana kuhakikisha Iran hapati pumzi.

Kama Iran anaona bado pumzi ipo na mzigo upo ni Bora agome ceasefire.
 
💥💥💥
Video footage: makombora ya Iran yakiwa juu ya anga la Israel
 

Attachments

  • 2025-06-24_05-23-17_0.mp4
    484.5 KB
Never trust on USA and Israeli.

Wazo la ceasefire inaonekana Israeli na USA walishakuwa nalo, ndio maana Israeli in two days ameshambulia sana kuhakikisha Iran hapati pumzi.

Kama Iran anaona bado pumzi ipo na mzigo upo ni Bora agome ceasefire.
Iran anapaswa kujibu, leo kwa masaa 7 Israel walkua wanashambulia sana kwa makombora, alafu ikifika saa 10 ceasefire ianze, so Iran awe victim wa mwisho. Iran kwenye hili wasikubali unyonge
 
Yule jamaa alieweka profile picture anacheka kama chizi ambae anacomment utopolo humu kila siku leo hajaja bado?
Siku izi kawa kama nusu mtu kila akifikiria kibarua chake cha Propaganda kinaenda kuota nyasi !!!

kachoka na kuwaza itakuweje kesho yake!!!


Na boss wake kachanganyikiwa Akili yule Mzee ameonekana na chupi tu mtaani akiwauliza wale vijana kama wanajua nyumba yake ilipo !!!

ilibidi vijana wacheke kwanza kisha wakamwambia pengine ipo mtaaa ule...!!!

Makombora ya Iran yakija yanaambatana na kama Radi sauti yake kubwa sana mtu ujisikia kufa kabla mzigo aujatua !!!

kwaiyo Echolimai kwasasa afanyiwe maombi kijana wetu.
 
Back
Top Bottom