SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Waisrael wanatia huruma hatar
Screenshot_20250624-071935.png
 
Toka Kipindi Kile North Korea Ana Mpiga Mkwala Marekani, Alafu Marekani Ana Poa,

Watu Wakamu underestimate Marekani Paka Leo Wana Mlinganisha na Mataifa Madogo Madogo Yalio Jua Nyuklia Miaka Ya Hivi Karibuni,

Marekani Kupigana Na Irani Huo Ni Uonevu Kwa Sababu Ya Nguvu Aliyo Nayo Marekani Ni Kubwa Sana Kulinga Nisha Na Irani Na Ayo Mataifa Mengine Madogo Madogo,

Nchi Pekee Inayo Weza Kuingia Vita Na Marekani Na Waka Bomoana Kwa Usawa Ni Urusi Pekee na China Kwa Mbali Wana Weza Wakajitaidi

lakini Mataifa Mengine Labla Awe Limited Kutumia Nguvu Ya Kijeshi Aliyo Nayo.
North Korea hawezi kupigana USA
Uduku anategemea nuclear tuu. Ndo kitisho chake.

Askari ya kiduku walienda Ukraine,
Walikufanya kama unga wa ngano unapulizwa na upepo.
 
Trump last night: The Iranian regime must change.
Trump tonight: Thank you Iran

Trump five nights ago: I have no intention of entering into conflicts with Iran for the next two weeks.
Trump two nights ago: We destroyed the Fordow, Natanz and Isfahan facilities.

Trump tonight and last night: We will make peace with Iran and I will convince Israel for peace.
We do not intend to engage in a ground battle and a war of attrition with Iran.

👀
Iran sidhani kama utakubali.
Maana kilichotokea kule kwako.

Missiles launcher nyingi zimearibiwa sana ndo maana Hana uwezo wa kurusha makombola mengi.
 
Dogo nimekuuliza huwa unajikagua sphincter muscles kwa lengo gani, na huwa unatumia nini?

Lengo la wewe unayejiita mwanaume kujikagua sphincter ni nini?

Mwanaume anajikaguaje sphincter?
Baadhi ya vitu ni FACTS, wala havihitaji ukaguzi.

Mwanaume TIMAMU anaanzaje kuhoji MAAMUZI ya Iran kushambulia US military bases zilizopo middle east?

Wewe si mzima!!!
Wewe ni bwabwa AKA punga.
 
Back
Top Bottom