SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥
Mashambulizi ya makombora ya Iran muda mchache uliopita
20250624_061015.jpg
 
💥💥💥💥💥💥💥
Video footage: Israel muda huu imeshambulia kwa makombora eneo la ekbatan Tehran. Milipuko mikubwa
Pale napowambiaga mlipuko ni mkubwa Basi angalieni video hii
Ndio hii ceasefire baada ya masaa 6.
Israel anabondabonda kila kitu, kukicha atasema tumekubali ceasefire😁😅😅😅
 
Kwamba wewe mtoto wa kiume (wewe haupo miongoni mwa wanaume) huwa unajikagua misuli yako ya sphincter kila mara na unajihakikisha?

Kijana huwa unatumia mbinu gani kujikagua?

Umeizoea hiyo michezo sasa huwa unakagua ili bwanako asishtukie una bwana mwingine?

Hebu nielimishe nini lengo lako la kujikagua kijana?


Hahahahahahah...
Imara zaidi yako!
 
Iran wangekubali hii ceasefire ya kihuni wangekua wazembe sana. Israel ameshambulia sana Leo kwa masaa mengi na kwa nguvu mno. Iran ina haki ya kulipiza
Roho iliniuma nlivosikia iran amekubali ceasefire while Israel akawa anashambulia balaa, kumbe alikua anamtime akimaliza nae amalizie halafu aseme vita vimeisha😂
 
💥💥
Kuna mhuni huko Iran ameandika "tutafurahia anguko la serikali ya kiislamu" ndani ya shademan underground station
View attachment 3380693
Inaweza kuwa kinyume chake.

Binafsi huwa sipendi serikali za kidini namaanisha dini yoyote iwe na kiasi cha nguvu za kimaamuzi katika serikali na nchi kwa sababu huwa naona baadhi ya maamuzi yatafanyika kwa mtazamo na fikra za kidini na ndio maana huwa sipendi kuona ukristo na uislamu unajimilikisha hatimiliki ya Tanzania na ndio maana hata wimbo wa Taifa huwa unanipa mashaka kuuimba pale unapopigwa kwa sababu umekaa kidini dini na wakati katiba haisemi hivyo.

Tuachane na hilo tuje kuhusu Iran baadhi ya raia wanaweza wakasema watafurahi kuona serikali ya kidini ikianguka wanaweza kuwa sahihi kutokana na masuala kadhaa waliopitia katika serikali yao lakini katika kosa kubwa wasiruhusu ni mabadiliko ya kiutawala kufanywa na mataifa ya nje maana hayatafanywa kwa matakwa ya wa Iran na wala hayatafanywa kwa ajili ya Wairan, Iran inaweza kwenda mbele au kurudi nyuma zaidi kutokana na mabadiliko hayo.

Iran yeye ndio kabaki pekee aliye kinyume na imperialism ya America na ndugu yake Israel akianguka hata hiyo neema raia wa Iran wanaweza hata wasiipate na wale watu wa mashariki ya kati akili zao zilivyo inaweza kuwa hali tofauti na wanavyo tarajia itakuwa.
 
Back
Top Bottom