SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Reports on Iranian social media claim that Hossein Najat, commander of the Revolutionary Guards' Sarallah Command, was killed in the latest Israeli airstrikes.

Sarallah Command is the body responsible for protecting the Iranian regime in Tehran, suppressing protests, and deploying elite forces to maintain order. It is considered one of the regime's most sensitive and important units.

Hossein Najat is considered close to Supreme Leader Khamenei, and plays a key role in curbing popular protests and combating cyber and espionage.

If the report is true, this is one of Israel's most serious strategic attacks on the heart of Iran's internal defense mechanism.
 

Attachments

  • FB_IMG_17507265890318455.jpg
    FB_IMG_17507265890318455.jpg
    269.6 KB · Views: 22
💥
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema Hakuna makubaliano yoyote ya ceasefire. Lakini Israel Israel wasiposhambulia baada ya saa kumi alfajiri(muda huu) basi wao hawatajibu.
Ngoja tuone he Israel itafanya mashambulizi baada ya muda huu? Tusubiri
20250624_040139.jpg
 
💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya Mostafa Khomein magharibi mwa Tehran

Israel wanaendeleza mashambulizi nje ya muda ambao Iran wamesema. Ngoja tusubiri itakuwaje
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel muda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora
 

Attachments

  • 2025-06-24_04-08-23_0.mp4
    1.5 MB
💥
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema Hakuna makubaliano yoyote ya ceasefire. Lakini Israel Israel wasiposhambulia baada ya saa kumi alfajiri(muda huu) basi wao hawatajibu.
Ngoja tuone he Israel itafanya mashambulizi baada ya muda huu? Tusubiri
View attachment 3380888
Hahahaha kweli maji yamezidi unga,umepigwa kutwa nzima badala ya kujibu mapigo eti unasubiri anaekupiga akae kimya halafu usijibu na hapo hapo unasema hutambui ceasefire
 
💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora kambi ya Mostafa Khomein magharibi mwa Tehran

Israel wanaendeleza mashambulizi nje ya muda ambao Iran wamesema. Ngoja tusubiri itakuwaje
Iran hawana uwezo wala power ya kufanya devastation kwa Israel. Iran anahitaji sana ceasefire kuliko Israel.
 
Back
Top Bottom