Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Asante kwa TaarifaBrigadier wa IRGC Ismail Qaani aliyesemekana ameuwawa, kaonekana leo teherani
Hii inakuja siku za usoniTatizo haipoo
Source????Brigadier wa IRGC Ismail Qaani aliyesemekana ameuwawa, kaonekana leo teherani
kama unajijua wewe ni kilaza usifikiri kila mtu ndo ana akili za panya kama zakoNyoko eti ata mimi natengeneza Ebu kojoa kalale
Utachekwa ya Jewish maana ubachoongea kwao nI upuuziPale unapobishana na typical pro Iran itabidi ukumbke ile aya ya biblia " ee Mungu nifundishe kunyamaza"
Israel wao ndo wanakimbia nchi💥💥💥💥
Taarifa zinasema Israel imewapa masaa 12 maafisa wa jeshi la Iran kukimbia nchi.
Kayakanya wapi super power huku anaiimba China imsaidie Iran isifunge mfereji😂😂Duhh kobaz iran kayakanyaga
R.I.P iran
Waliambiwa na mu Israel meenza kuwa wasitishe vita kabla Iran hajaanza kujibu mapigo maana akianza hatakubali ceasefire na ndicho kimetokeaIpo wazi Netanyahu analaumiwa na wananchi pia baadhi ya viongozi kwenye serikali yake kwa kuanzisha vita ambayo imeleta madhara kwa wananchi, vifo, na mali kuharibiwa, huduma nyingi kusitishwa , gharama ya maisha kupanda na hofu kuongezeka....
Hivyo kwa msukumo wa ndani Netanyahu lazima tu angemtumia Trump kuomba ceasefire....
Iran hataki ceasefire... kiukweli Iran inaimaliza Israel... Israel wanaweza kutishia kutumia nuke..
Ayatollah ni binadamu akifa yeye kunawarithi zaidi 100 wenye msimamo mkali huyo ayatollah akasome ni sawa na wewe ukifa hakuna wa kuziba pengo lako maana mpaka sasa ni debe tupuWanamzuga ili wamuue ayatollah
Mungu wa Israel ameshindwa kuwalinda watu wake, wanapopolewa, hatimaye wametafuta msaada wa mitambo kulinda anga lao🤣🤣.Hivi, mpaka sasa mi bado nashindwa kuelewa. Inakuwaje taifa la Israel, lilindwe na Iron Dome, David Sling, THAAD na makolokolo mengine, af sisi wa Africa ndo tulindwe na Mungu wa hiyo Israel!!!!
wewe mbona unalindwa na CCM?Mungu wa Israel ameshindwa kuwalinda watu wake, wanapopolewa, hatimaye wametafuta msaada wa mitambo kulinda anga lao🤣🤣.
Lakini wafuasi wa taifa hilo waishio Lighano mpaka Ngwinde wanalindwa na Mungu wa Israel 🤣🤣
😂😂😂 Ngoja wakuckieVitq imesitishwa, ni jambo jema sana ila next time Iran aache ufala awekeze kwenye kuboresha Intelligence hasa counter intelligence. Alichofanyiwa na Israel sidhani kama unaweza kukifanikisha hata kwa Rwanda. Pesa anazotumia kuwekeza kwenye makombora na nyuklia hazina maana kama waliopaswa kusimamia matumizi ya hizo siraha na nyuklia wanaweza kuuliwa tu kiboya kama vibaka tu wa kawaida mtaani.
NATO hii hii inayopindwa Ukraine au Kuna nyingine?Unaijua NATO unaiskia?
Director wa mossad walisema kauwawa ila kumbe yupoBrigadier wa IRGC Ismail Qaani aliyesemekana ameuwawa, kaonekana leo teherani
Usijisifu una mbio ........pia wasifu waliokukimbiza...........wale elfu kumi wa kwanza waliisha wote ..........ukaja mzigo mpya...................slava 🇺🇦 UkraineAskari wa North Korea wako vizuri sana kwa vita za miguu.
Kursk region imerejeshwa mikononi mwa Urusi kwa nguvu ya askari wa N.Korea.
Mimi na subiria mtanange kati ya Qatar na Iran.. hii ni mechi ya nyumbani kabisa tuone itakuajeHawa watu wa ulaya ni wapumbavu sana, eti ktk negotiation wanazopanga kuhusu irani kuachana na nuclear, vile vile wanataka irani ihachane na technology ya uzalishaji wa makombola. Wajinga sana hawa watu