Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hivi huyu mzee ana undugu na Mandonga au?Hatimaye kaibuka!
Iran's supreme leader says they delivered 'hard slap' to US, as he addresses nation
![]()
Hegseth says US strikes on Iran were 'historically successful' after ayatollah downplays impact
US Defence Secretary Pete Hegseth is giving an update at the Pentagon - earlier, Iran claimed it gave the US a "heavy slap".www.bbc.com
Sema washabiki wa Iran na Kobazi wengi akili zao ni ndogo sasa... Kwa hiyo picha umeshindwa kuelewa ni AI generated, au hayo ni mambo magumu sanaKitu kilivyobanguliwa
Oct 7 Hamas walikuwa wanajibu baada ya kufanyiwa shambulio na Israel na watu wengi kuuawa wengine kufungwa jela...Oct 07,2023 Hamas walipoua watu alikuwa akichekelea leo hii Israel imeanza kujibu mapigo wanaanza kubwabwaja ovyo Mara wanaua wanawake na watoto wakati Hamas walifanya yaleyale wakakaa kimya. Ningemuona wa maana kama angelaani kwanza vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na Hamas huko Gaza.
Mtumishi Uchwara anatembea na clip za Propaganda za chuki dhidi ya Israel anajitoa ufahamu kwa kudai kuwa Wakristo wanatemewa mate huko Israel wakati ni uongo. Israel kuna uhuru wa kuabudu kila mmoja na anavyoamini.
Kuhusu kutemewa mate huo ni uongo. Israel kuna sheria kama utamtemea mtu yeyote na ukabainika utafungwa miaka 5 na faini juu kosa hili huchukui siku unafungwa. Tabia ya kute wa watu huko Israel ni ya Waarabu wengi wanafanya huu I huo na wa akamatwa na kufungwa.
Kwa maana hiyo Israel nayo Ina halali ya Kujibu mapigo!,,,Oct 7 Hamas walikuwa wanajibu baada ya kufanyiwa shambulio na Israel na wau wengi kuuawa wengine kufungwa jela...
Wangewatafuta Hamas, sio kwenda kuua watoto kikatili kiasi kile, kuzuia chakula na maji, dawa na misaada mingine, kipindi hiki hata wazungu wamewaona Israel ni wajinga na magaidi...Kwa maana hiyo Israel nayo Ina halali ya Kujibu mapigo!,,,
Wawatafute Hamas wapi? Maana Oct 07,wotewalishiriki kwa pamoja kubaka,kutesa na kuua watu huko Israel, hakuna mtu asiye na hatia huko Gaza!!Wangewatafuta Hamas, sio kwenda kuua watoto kikatili kiasi kile, kuzuia chakula na maji, dawa na misaada mingine, kipindi hiki hata wazungu wamewaona Israel ni wajinga na magaidi...
Kaa ukielewa kwamba 80% ya wananchi wa Gaza waliichagua Hamas, hawa 20% hawakuichagua Hamas, hata kama kisingizio unawapiga raia kisa waliichagua Hamas(kitu ambacho ni kinyume kisheria, haki za binadamu), je hawa 20% ambao hawakuichagua Hamas nao unawaua kikatili kiasi kile?
Lakini hata hivyo kwa kipigo alichotoa Iran, imenifurahisha sana, pigika mpaka mtu anaomba vita isimame..
Wawatafute Hamas wapi? Maana Oct 07,wotewalishiriki kwa pamoja kubaka,kutesa na kuua watu huko Israel, hakuna mtu asiye na hatia huko Gaza!!
View: https://x.com/iambrianbj/status/1884929329462935820?s=61
View: https://x.com/ricwe123/status/1721455748444565676?s=61
View: https://x.com/youranonone/status/1713209445457486323?s=61
Tel AViv kampuni kubwa zote za teknolojia zina ofisi hapo , ofisi za kiserikali zipo hapo, Haifa ni mji wa viwanda.. kw kulenga hizo sehemu mbili ni kuiharibu Israel kiuchumi... japo Jerusalem ni mji mkuu kwa sasa lakini imekuwa hivi karibuni hivyo mambo mengi bado yanafanyika Tel Aviv..Mie naomba kujua toka kwa wajuzi wa mambo ni kwanini mashambulizi ya Iran yalikuwa yanailenga zaidi miji ya Haifa ma Tel Aviv? Kuna nini cha umuhimu kwa Israel pale?
Watu wanatumia technology yeye anawaza uchawi, mara anasema watu wafikilie badala ya kufikiria, kwa kujiamini kabisa anasema mosad wachawi sana😃😃😃Umeona aibu ya nini mkuu? 😁😁😁
Telaviv kuna ofisi za kijeshi na haifa kuna kambi nyingi za anga za kijeshiMie naomba kujua toka kwa wajuzi wa mambo ni kwanini mashambulizi ya Iran yalikuwa yanailenga zaidi miji ya Haifa ma Tel Aviv? Kuna nini cha umuhimu kwa Israel pale?
Shukrani mkuuTelaviv kuna ofisi za kijeshi na haifa kuna kambi nyingi za anga za kijeshi
Ukiambiwa uonyeshe Mchungaji na wewe unatuletea KIBWENGO huyo??? Kaa kwa kutulia huyo si Mchungaji huyo ni MJASILIAMALI yuko hapo kuchuma pesa tu mambo ya uchungaji unayajua wewe KIBWENGO mwenzie.Wewe nilikuamba kuhusu suala la wayahudi kuwatemea mate wakristo, ukawa mbishi balaa, leo mkristo mwenzenu ten mchungaji anahakikisha hilo, bado unambishia, Israel kwenyewe hujawahi kufika... jamaa ni mbishi na ulisha lock kichwa chako.. hivyo siwezi kupoteza muda wangu na mtu ambae ni mjinga..