Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Huyu ......kobazi walisema kafa...........daaa masikini uchi mdogo umepewa chupi kubwaMkuu wa Mossad David Barnea hivi leo alitangaza kuwa Israel ni taifa salama kufuatia operesheni kubwa dhidi ya Iran, ambazo alizitaja kuwa zimepata mafanikio "isiyoweza kufikiria". Barnea alifichua kwamba vitendo hivi vya siri vilijumuisha mauaji ya wakuu wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia, sambamba na kuharibu vifaa muhimu vya nyuklia, drone, na makombora ya balestiki. Alifichua kwamba mamia ya maajenti wa Mossad walifanya kazi ndani ya Iran, na kuifanya Jamhuri ya Kiislamu "kupiga magoti" kabla majasusi hao kuleje a n
israel katika operesheni iliyoanza Juni 13, 2025, na ilihusisha miaka ya maandalizi ya kina.
Barnea pia aliangazia ushirikiano muhimu na ujasusi wa IDF, Mkuu wa IDF Lt.-Gen. Eyal Zamir, na CIA wakati wa misheni hizi. Zaidi ya Iran, mkuu wa Mossad alisisitiza dhamira ya shirika hilo kurejea mateka wote 50 kutoka Gaza, akisema kuwa 20 wanaaminika kuwa bado wako hai. Hotuba hiyo pia iligusa matukio yanayohusiana hivi karibuni, ikiwa ni pamoja na shambulio la Israeli huko Tehran na shambulio la kombora la Irani Kusini mwa Negev.
Aliongeza kusema kuwa mwisho wa Operation hii ndiyo mwanzo wa operation nyingine huko Iran.
Aibu nimeona mimiwewe..!
hakuna watu wanaotumia uchawi mkubwa kama mosad duniani.yaani hao sio heti wanatumia sayansi tu.hiyo timu ya mosad ina uchawi mkubwa kuliko unavyofikilia.
isipokua tu wamekutana na vigagula wenzao .hebu fuatilia CV ya ayatorah halafu utafakali mwenyewe kumjua ayatora ni nani.
Umeona aibu ya nini mkuu? 😁😁😁Aibu nimeona mimi
Wale jamaa hatari mi sijtaegemea kama iran wapo vozuri kiasi kile hata western world wote wameachwa mdomo wazi, vitu vinatumwa hadi makao ya mossad ,halafu zile irone dome zimegeuka paziaTimu Zionist imekuwa kama imepigwa ganzi na kuna myahudi wa tandale kwa tumbo alisema katika kitu Iran 🇮🇷 imekosea ni kuishambulia Zionist hawatakaa wasahau!Sasa naona amejua ukimya wa Iran 🇮🇷 na nguvu aliyonayo kijeshi japo anavikeazo vya kiuchumi miaka 30!
Na moja Waajemi wakaitunguaHata kama wewe huyu njiwa kagharamiwa pesa nyingi kuliko badget ya TZ na Kenya, halafu wataalam wanakuja sema hivi, kigugumizi lazima👇👇👇
Hata kule iran wakimbizi million 5 wa Afghanistan wamekimbia na kurudi kwao.Basi kwa Israel watakuwa hata 10000 wameuwawa maana waliokimbia nchi wamefika million
Hata kule iran wakimbizi million 5 wa Afghanistan wamekimbia na kurudi kwao.
Raia million 4 wamekimbia Terhan maana Terhan kula watu million 10.
So 40% ya raia wamekimbia.
Sasa mpk wakimbizi wapo tayari kurudi kwa Taliban ujue Hali hakikuwa mzuri.
Iran raia wachache sana ndo walitoa nje ya nchi Yao.
Iran ni nchi kubwa sana, raia walikuwa wanaunda sehemu Salam tuu,
Tofauti na Israel kanchi kadogo.
Ila ya Israel raia wa Israel ni rahisi kuchukua hatua coz ya warning makombola yakija yanaonekana since yanatoka iran, 20 minutes kabla ya kutua.
Labda wale siku za kwanza
Ila baada ya kama 2 days hivi, raia wengi walikuwa hawapo kwenye majengo.
gTurn mdogoye Adiosamigo Webabu Ritz na Kenge wengine wote!!!FULL List: 30 Iranian Generals eliminated by Israel
1️⃣ Lt. Gen. Hossein Salami – IRGC Commander-in-Chief
2️⃣ Lt. Gen. Mohammad Hossein Bagheri – Chief of General Staff
3️⃣ Lt. Gen. Gholam Ali Rashid – Khatam al-Anbiya Central HQ Commander
4️⃣ Lt. Gen. Gholam Ali Rashid (his replacement, also killed shortly after)
5️⃣ Brig. Gen. Mehdi Rabbani – Deputy Chief of General Staff for Operations
6️⃣ Maj. Gen. Gholamreza Mehrabi – Deputy Head of Military Intelligence
7️⃣ Maj. Gen. Mohammad Kazemi – Head of IRGC Intelligence Organization
8️⃣ Maj. Gen. Mohsen Bagheri – Deputy Head, IRGC Intelligence
9️⃣ Brig. Gen. Hassan Mohakek – Deputy Head, IRGC Intelligence
🔟 Maj. Gen. Mohammad Jafar Asadi – Deputy Inspector General, Khatam HQ
1️⃣1️⃣ Maj. Gen. Mohammad Reza Nasir Bagban – IRGC intelligence rep
1️⃣2️⃣ Brig. Gen. Masoud Shanaei – Chief of Staff to the IRGC Commander
1️⃣3️⃣ Maj. Gen. Amir Ali Hajizadeh – IRGC Aerospace Force Commander
1️⃣4️⃣ Brig. Gen. Amir Purjodaki – Deputy Cmdr, IRGC Aerospace
1️⃣5️⃣ Brig. Gen. Khosro Hassani – Deputy Intelligence, IRGC Aerospace
1️⃣6️⃣ Brig. Gen. Davoud Sheikhian – IRGC Air Defense Commander
1️⃣7️⃣ Brig. Gen. Mohammad Baqer Taherpour – IRGC UAV Unit Commander
1️⃣8️⃣ Brig. Gen. Mansour Safarpour – IRGC Aerospace Cmdr, Tehran
1️⃣9️⃣ Brig. Gen. Masoud Tayeb – IRGC Aerospace
2️⃣0️⃣ Brig. Gen. Javad Jarsara – IRGC Aerospace
2️⃣1️⃣ Brig. Gen. Mohammad Said Izadi – Head of Palestine Desk, Quds Force
2️⃣2️⃣ Brig. Gen. Behnam Shahriari – Commander of Unit 190, Quds Force
2️⃣3️⃣ Maj. Gen. Amir Mozaffarnia – Head of SPND (Defense R&D Organization)
2️⃣4️⃣ Brig. Gen. Mohammad Taghi Yousefvand – Basij Intelligence Chief
2️⃣5️⃣ Gen. Meysam Rizvanpour – Deputy Cmdr, Basij (Social Affairs)
2️⃣6️⃣ Brig. Gen. Seyed Mojtaba Moeinpour – IRGC Chief of Staff, Alborz
2️⃣7️⃣ Brig. Gen. Mojtaba Karami – Deputy Cmdr, IRGC Alborz Province
2️⃣8️⃣ Brig. Gen. Akbar Enayati – Deputy Cmdr for Social Affairs, IRGC Alborz
2️⃣9️⃣ Gen. Alireza Lotfi – Chief of Police Intelligence Org (SAFA)
3️⃣0️⃣ Brig. Gen. Abbas Nouri – Deputy Logistics Cmdr, SW Ground Forces HQ
Shujaa wa michongo huyo!!!!Iran ni Shujaa, imagine anapigana na USA!! Vita siyo kuvaa vitenge
Two million people fled an exodus without return.
Tumia akili yako vizuri. Marekani ndiye aliyeshambulia vinu hivyo harafu kwa ujinga wako wewe unataka habari kutoka kwake!! Huo ni ujinga na upumbavu uliopitiliza!!!!Hiyo taarifa ya kushindwa kulipua vinu na kuviharibu imetolewa na iran au taasisi toka marekani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Humu zuzu unahangaika kubishana na ukweliTumia akili yako vizuri. Marekani ndiye aliyeshambulia vinu hivyo harafu kwa ujinga wako wewe unataka habari kutoka kwake!! Huo ni ujinga na upumbavu uliopitiliza!!!!
Hiyo sasa ndiyo inaitwa Taqiyyah unasema uongo kumfurahisha mnyazimungu wako. Tuwekee majina kama ni kweli hata tu picha tu tuwekee. Mbwa wewe sasa hivi unaweweseka tu.Two million people fled an exodus without return.
Israel's entire military and infrastructure were destroyed.
The Israeli Hess website was hacked, revealing the deaths of:
6 senior military generals
32 Mossad officers
78 Shin Bet officers
27 naval officers
198 air force officers
462 soldiers
423 civilians
Israel's interceptor missile losses:
$11 billion
Not to mention the complete destruction of a third of Israel.
Streets and roads are covered in rubble to be cleared.
Israel faces a real catastrophe it never anticipated from its inception.
Seaports are almost completely destroyed.
Services are nonexistent.
Gas and electricity stations are damaged and out of service.
There are things that were not shown on TV, satellite channels, and the media. They are almost completely destroyed.
Important sites, airports, and sites are destroyed.
Israel has received a crushing blow. It cannot be rebuilt again and will take three to four years to rebuild.
The current destruction is estimated to cost three trillion shekels.
Netanyahu rushed his strike on Iran, but his strike achieved nothing. The Iranian nuclear reactor was not affected.
The Iranian regime did not fall, and Netanyahu did not fulfill his promises to the Gulf states, who paid trillions of dollars to realize this dream of the end of the Islamic Republic of Iran.
Iran will certainly emerge stronger after the strike and regain its strength.
Israel, the Gulf states, Europe, and America did not expect Iran to be this strong, resilient, and tactical.
Iran swept away all the trillions of dollars in the Gulf and trampled on Israel in an unexpected and unprecedented manner.
Indeed, Israel, America, and the Gulf states lost the war with Iran.
Iran did win.
There are things that will be revealed later that were the reason for Iran's victory.
Iran has become the master of the Middle East.
Iran asked its friends to enter the war alone and did not seek help from anyone. It wanted to discover the extent of its ability to confront and withstand.
Iran forced the Israeli enemy. The US and Europe called for a ceasefire.
Trump feared that Iran would prolong the war and exhaust America and Israel.
This would lead to the imminent collapse of America and Israel.
Not to mention the global economy being exposed to fuel crises and rising prices of food and basic commodities worldwide.
America feared that it would ignite a third world war and that Iran's allies would join the battle, leading to dire consequences.